Masihara hayo! Mpaka atakapofikishwa mbele ya pilato (mahakamani) na kufunguliwa mashitaka, yote bado ni uvumi tu. Kwa mtu mweusi in U.S, huyu jamaa ana bahati sana kwamba mpaka sasa hivi hajatiwa ndani wala kufunguliwa mashitaka, ingawa ameishasulubiwa kwenye Social media.
By the way, so far wahusika/ wahanga wote walikuwa over 18, na inaonekana kama walifanya hayo yanayosemwa kwa hiari au kwa kurubuniwa kwa pesa na kutafuta ummarufu.
Kwa U.S, mwanaume Sigra nyota/goso ambazo huvutwa mbele na nyuma (bisexual) sio Kosa la jinai. Huenda ndio sababu huyu mwamba bado yupo uraiani. Vinginevyo, tayari angekuwa ananyea debe.