Anaonekana kijana tu hata mikato yake ukilinganisha mtu wa umri huo kibongobongoDiddy ametimiza miaka 51 mwaka huu.
achana na hizo style..ukute una mke anakubully na kukusengenya utakua umekufa kabisa51 uwe na stress ya kodi kwenye chumba na sebule unaonekana 71.
Kwa maisha yetu haya ugali mkubwa na dagaa mchele wa jelo maji ya kunywa kwenye jagi π€£π€£ unazeeka haraka sana51 uwe na stress ya kodi kwenye chumba na sebule unaonekana 71.
Wewe mbona huu msosi pouwa sana, baada ya hapo unaembea kutoka Rombo Green View mpaka Bamaga kukopa 20,000 kwa Ally.Kwa maisha yetu haya ugali mkubwa na dagaa mchele wa jelo maji ya kunywa kwenye jagi π€£π€£ unazeeka haraka sana
Nikimuangaliaga na J lo crush wake wa zamani naye bado anaonekana binti kigoliWewe mbona huu msosi pouwa sana, baada ya hapo unaembea kutoka Rombo Green View mpaka Bamaga kukopa 20,000 kwa Ally.
Wazungu wanazeeka kwa kula burger π kila siku. Mifuta kibao na nyama imepitia michakato kibao kiwandani..
Mama karudisha mpira kwa kipa duuh yule Raridgo kampiga chini kweli mapenzi mabaya ππPenzi naona limenoga kwa Ben Afflex
Diddy ametimiza miaka 51 mwaka huu.
π π π bado hujasikia kauli za viongozi wakisema Wananchi wamekubali Tozo. Lazima uchoke51 uwe na stress ya kodi kwenye chumba na sebule unaonekana 71.
Hao mabinti wanapendeza sana kusema kweli....mpaka raha.Diddy ametimiza miaka 51 mwaka huu.
umenichekesha sana mkuu...siku ukiwa njema unaingezea na mtindi basi burudani.Kwa maisha yetu haya ugali mkubwa na dagaa mchele wa jelo maji ya kunywa kwenye jagi [emoji1787][emoji1787] unazeeka haraka sana