P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1630208256482.jpeg

Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.

Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
 
Yaani wakati nasoma kwamba hao watoto wawili ni mapacha na huyo wa mbele ni wa mama mwingine nikataka kuuliza kwamba ina maana hao mapacha ni wa mama mmoja dah jamani tozo zina tuchanganya. Nimebaki najicheka mwenyewe tu.
 
Kwa maisha yetu haya ugali mkubwa na dagaa mchele wa jelo maji ya kunywa kwenye jagi 🤣🤣 unazeeka haraka sana
Wewe mbona huu msosi pouwa sana, baada ya hapo unaembea kutoka Rombo Green View mpaka Bamaga kukopa 20,000 kwa Ally.

Wazungu wanazeeka kwa kula burger 🍔 kila siku. Mifuta kibao na nyama imepitia michakato kibao kiwandani..
 
Back
Top Bottom