P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Na akikukaribisha kwa Party zake kataaa 😂😂😂
 
Kuna interview moja...usher aliuliza na mtangazaji kuwa kama baba mwenye watoto ,je yupo tayari kumpeleka mwanawe alelewe nyumbani kwa diddy....alijibu "HELL NO"

Usher aliwahi kuishi mwaka mzima nyumbani kwa diddy pindi alipokuwa na miaka 14.
😂😂😂
 
Lakin ile list wanatajwa wengi sana hadi bill clinton
 
Mbona jamii forum kama mnasupport sana nyuzi za ushoga ,huzi kama huu inabidi ufutwe humu kuna vijana under 18 mtu akisoma hivi vitu tunatengeneza kizazi cha kuona kutatuliwa Melinda ni jambo la kawaida
 
Wamempoteza R.Kelly,Cosb then sasa zamu ya P Diddy hata Jay Z ajiangalie sana kinachofanyika nikuwapoteza all black Americans matajiri ili watu wachukue mkwanja,kuna white people wanafanya unyama kuliko waliofanya haya lkn kwakua network hao nzuri maisha yanaenda tu busiki chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…