P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Hizi kashfa zote ni deal za biashara...tuwe makini na watu wetu WA karibu why hawajafungua criminal case? Michael Jackson Sony Music walimuungia zengwe la kulawiti kwa sababu aligoma kuuza his Music Catalog kwao kwa bei ndogo.
Ukweli hakuna tajiri msafi.
 
Mbona jamii forum kama mnasupport sana nyuzi za ushoga ,huzi kama huu inabidi ufutwe humu kuna vijana under 18 mtu akisoma hivi vitu tunatengeneza kizazi cha kuona kutatuliwa Melinda ni jambo la kawaida
Under 18 hawezi kuwa jamii forums na wala hwezi kuwa great thinker.

Under 18 wapo majumbani kwa wazazi wao bado wanasoma sekondari
 
Wamempoteza R.Kelly,Cosb then sasa zamu ya P Diddy hata Jay Z ajiangalie sana kinachofanyika nikuwapoteza all black Americans matajiri ili watu wachukue mkwanja,kuna white people wanafanya unyama kuliko waliofanya haya lkn kwakua network hao nzuri maisha yanaenda tu busiki chochote
Haiwezekani black rappers wengi wa-testify against him halafu uje useme anaonewa.

Hapo FBI wamevamia makazi yake ina maana walishamtega siku nyingi na wana ushahidi mwingi dhidi yake...so walikuwa wanasubiri right time wavamie wakamilishe ushahidi dhidi yake.

Kwenye hili diddy hawezi kuchomoka. Mpaka FBI wakikuvamia jua kuwa washakufuatilia mienendo yako kwa muda mrefu sana na wanahakikisha wakikuvamia hutaweza kuchomoka kwenye mikono yao . Huenda walisha tap simu za muda mrefu ,mawasiliano yake ya kimtandao na hata kumuwekea bugs nyumbani kwake.
 
Angalia wote ambao kahusishwa nao,, ni njemba haswa sio kama wakina anti naniu wa magomeni
USA kuna closet gays..huwezi kumjua kirahisi kama anakazwa mzee...unakuta mtu kidali,ndevu nyingi,mixer mitatoo mwilini ila nyuma ya pazia anaukatikia muwa kitandani.

Meek mill walishamu-expose kitambo kabla hajatoa hii mixtape yake mpya
 
Mambo ya kishoga wanayofanya black rappers nyuma ya pazia ndio unakuja kuwaona mara wametoboa pua,wamevaa vikuku miguuni, wametoboa ndimu na kuvaa mavazi ya kike huku wakidai ni style tu za macelebrity ila ukweli ni kuwa wengi ni was*nge baridi tu.

Cha kushangaza unaona wasanii wa kibongo kina diamond na harmonize nao wanatoboa hadi pua.

Hivi mwanaume rijali kabisa unatoboaje pua na kuvaa hereni za wanawake?
Sindio hapo Sasa njomba
 
Haiwezekani black rappers wengi wa-testify against him halafu uje useme anaonewa.

Hapo FBI wamevamia makazi yake ina maana walishamtega siku nyingi na wana ushahidi mwingi dhidi yake...so walikuwa wanasubiri right time wavamie wakamilishe ushahidi dhidi yake.

Kwenye hili diddy hawezi kuchomoka. Mpaka FBI wakikuvamia jua kuwa washakufuatilia mienendo yako kwa muda mrefu sana na wanahakikisha wakikuvamia hutaweza kuchomoka kwenye mikono yao . Huenda walisha tap simu za muda mrefu ,mawasiliano yake ya kimtandao na hata kumuwekea bugs nyumbani kwake.
Kama yule Rodney katoa ushahidi kabisa picha na video
 
Imagine vile unamsaundisha Snoop hadi anatoa mzigo, aaah mimi siamini hizi porojo zako.
Haiwezi tokea maisha, kwanza snoop yuko crips na Tupac enzi na enzi.
Pili licha ya mibangi anayovuta ana familia imetulia tu ana displine nayo sana sana.
Brand anazo kibao,juzi tu kanunua death row,acha nguo anauza,acha movie anafanya na concert kibao dj snoopadelic.
Huyo Diddy ni poyoyo tu kwa snoop dogg.
Albamu yake doggy style mpk kesho ni bora na inauzwa.
Alafu eti leo aliwe na huyo popoma.
 
Hizi sasa chai
Kwa usher ni kwel, hao wengne sina uhakika, hata mama yake usher alishawai sema ktu ambacho atajuta mpaka kufa kwake ni kumruhusu mtoto wake kuishi na diddy, ndo maana usher pia alishasema alifanya juu chni kuhakikisha justin bieber hapitii yale aliyopitia maana naye alikuwa anamendewa sana na diddy.
 
Haiwezekani black rappers wengi wa-testify against him halafu uje useme anaonewa.

Hapo FBI wamevamia makazi yake ina maana walishamtega siku nyingi na wana ushahidi mwingi dhidi yake...so walikuwa wanasubiri right time wavamie wakamilishe ushahidi dhidi yake.

Kwenye hili diddy hawezi kuchomoka. Mpaka FBI wakikuvamia jua kuwa washakufuatilia mienendo yako kwa muda mrefu sana na wanahakikisha wakikuvamia hutaweza kuchomoka kwenye mikono yao . Huenda walisha tap simu za muda mrefu ,mawasiliano yake ya kimtandao na hata kumuwekea bugs nyumbani kwake.
Hujui maisha ya wamerekani mkuu I have been there and I know from the fact ww unasoma upande mmoja tu like unavyosoma habari toka US/EU kuhusu vita ya Ukraini kwakua hujui why they are fighting
 
Back
Top Bottom