P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Mimi nadhani wazungu ni waongo hizi ni fabrication. Wamempoteza Jonathan majors hivihivi kwa ubaguzi wao.
Ila at the end huyu jamaa hawezi kufungwa,huyu mbwa kashapangua kesi kibao sana ,jamaa ni mtu mkubwa sana,na hajazingua chamani(illuminati)so ni ngumu kumfunga.
 
Kwa hiyo naye P Diddy alikuwa anaingiliwa nyuma au sijaelewa?
Analiwa na kuwala..Bisexual

Kuna interviews za aliyekuwa bodyguard wake anaeleza mambo ya ajabu aliyoyaona kwa pdiddy wakati anaingia katika exotic shops. Alikuwa akinunua vilainishi vingi,dildos na butt plugs.

Sasa mtoto wa kiume kweli ununue buttplugs? Pia kwenye klabu alizokuwa akienda kulikuwa kukifanyika sana vitendo vya ushoga.

50cents alishasema siku nyingi kuwa Diddy ni shoga
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…