Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Ila at the end huyu jamaa hawezi kufungwa,huyu mbwa kashapangua kesi kibao sana ,jamaa ni mtu mkubwa sana,na hajazingua chamani(illuminati)so ni ngumu kumfunga.Mimi nadhani wazungu ni waongo hizi ni fabrication. Wamempoteza Jonathan majors hivihivi kwa ubaguzi wao.