P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Wale wa early 90s na late 80s tunamkubali sana 'Msomali' Sean Combs a.k.a Diddy

Mwamba ni mtu wa house parties sana kwenye mansion yake na celebs kibao huwa anawaalika, ila after party ni kufumua marinda wenzake

50 Cent kwa muda mrefu amekuwa akisema jamaa ni basha

Siku moja kwenye interview Diddy akaulizwa kuhusu hizo tuhuma niliona anababaika kujitetea
 
wanadamu wengi huwa wanapenda kujisifu au kusifiwa namna hii. na siku hizi shetani alianzisha watu kuitana "mwamba", bila kujua kuwa kwa kufanya hivyo watu wanamtukuza sheteni, wanaiba utukufu wa Mungu na kuwapa waandamu. kwa msio jua, Mwamba ni Mungu, hakuna mwanadamu mwamba.

Zaburi 62:5 inasema,

5 Nafsi yangu, umngoje Mungu peke yake kwa kimya.
Tumaini langu hutoka kwake.
6Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu,
Ngome yangu, sitatikisika sana.

pia Biblia katika Yeremia 9: 23

BWANA asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake; 24bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWANA,

acheni kusifia watu ujinga, uchafu na ushetani, acheni kuwapa watu sifa ambazo angepewa Mungu. hao wanamuziki wengi wamejiunga na mashetani, freemason na wanatumika kuzimu, na ninyi kutwa na manyimbo yao bila kujua mnaimbishwa maushetani. na watoto wenu mnawaimbisha ushetani.
 
Usiniambie kwamba Fifty nae anakazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…