Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
AhaaaHiyo nikinemu kapewa na wabongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhaaaHiyo nikinemu kapewa na wabongo
Snoop na P didy hata urafiki hawana,50 cent urafiki hawana hayo mambo mnatoa wapi?P didy ni mpuuz unaambiwa hadi snoop na 50 cent kawafumua marinda.
Ila binadamu. Yani Diddy anamtani kumtongoza snoop hadi snoop anakubali kabisa tena kwa hiari kutatuliwa?
Wazungu ni waongo na wabaguzi sana.
Wee unaambiwa jamaa hakuna wala kujali vijana, wazee cha urafiki wala nini. Yeyote mwanamme maarufu black American anatongoza na kusaundisha. Suge knight kaweka wazi kabisa snoop, 50 cent hadi dr Dre na floyd Mayweather wote kawatatua marinda.Snoop na P didy hata urafiki hawana,50 cent urafiki hawana hayo mambo mnatoa wapi?
Kama kafanya ujinga huo ni kwa vijana kizao cha 2000.
Na Mimi Madame B,dogo ana mwaka na nusuOhhhh.....ila jamaa analika tu.
Twende...🚶
Tumia tafsida Mkuu, ukali wa maneno umezidiKaribu wote aliowa sign kwenye label yake alikuwa anawafira kama condition ya kuwa promote. Amemla Usher Raymond, Meek Mill, TD Jakes
The Rock anatafunwa kweli si uongo[emoji23][emoji23][emoji23] hawashindwi kusema hadi The Rock
Beef lao lilianza pale Mase aliyekuwa record label ya Bad Boy chini ya CEO Diddy alipotaka ajiunge G-Unit, kipindi hicho G-Unit inatikisa duniani.Kwanini 50 anamchukia sana Didy?
Mahatma Ghandi ana kashfa ipi mkuuKuna mambo ni mazito sana Mkuu, kuna kashfa za Mahatma Ghandi aisee huwezi kuzania kabis ila ndio wanadamu tuna mambo mengi.
50 Cent hana hiyo scandalUsiniambie kwamba Fifty nae anakazwa.
Kuna nilichosikia jana kwenye media kwamba ana tabia ya kurekodi wageni mbalimbali nyumbani kwake kwa kamera za siri, kisha ana shurutisha kutoa chochote kitu... hapa amewapata wengi mno... nadhani mengi yanakuja.Wabongo kama kawa mmeanza kujazia nyama speculation cc Nyani Ngabu
Hahahaaa... ukisubiri isimame utachelewa ndugu..[emoji15][emoji15] Analiwa kalio, afalaleki, dunia isimame mie nishukie hapa hapa.
[emoji124] Twende
Duh hatari apo ukaguzi bado unaendeleaKuna nilichosikia jana kwenye media kwamba ana tabia ya kurekodi wageni mbalimbali nyumbani kwake kwa kamera za siri, kisha ana shurutisha kutoa chochote kitu... hapa amewapata wengi mno... nadhani mengi yanakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watu waliokubali kudhalilishwa uwanaume wake ana hitaji heshima gani?Tumia tafsida Mkuu, ukali wa maneno umezidi
Nilisikia kwenye media wazungu wanazo kila zinazimwa, target kubwa no kwa weusi..Inamaana wazungu ni waadilifu kweli. Mara chache sana kukuta staa wa kizungu ana kashfa za hawa mastaa weusi. Mtu kama 2pac angeendelea kuwepo pengine naye angekuwa na kashfa.
Mambo ya kishoga wanayofanya black rappers nyuma ya pazia ndio unakuja kuwaona mara wametoboa pua,wamevaa vikuku miguuni, wametoboa ndimu na kuvaa mavazi ya kike huku wakidai ni style tu za macelebrity ila ukweli ni kuwa wengi ni was*nge baridi tu.
Cha kushangaza unaona wasanii wa kibongo kina diamond na harmonize nao wanatoboa hadi pua.
Hivi mwanaume rijali kabisa unatoboaje pua na kuvaa hereni za wanawake?