P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

2pac nae unaambiwa alikuwa kama couple na diddy miaka ile ya 90, halafu mara unamuona 2pac katoboa pua kavaa kipini kama malaya wa sinza.

USA mashoga ni wengi sana wengine wanajificha katika kivuli cha u-gangster ila milango ikifungwa vyumbani wanapakuliwa vizuri tu
 
P didy ni mpuuz unaambiwa hadi snoop na 50 cent kawafumua marinda.

Ila binadamu. Yani Diddy anamtani kumtongoza snoop hadi snoop anakubali kabisa tena kwa hiari kutatuliwa?

Wazungu ni waongo na wabaguzi sana.
Snoop na P didy hata urafiki hawana,50 cent urafiki hawana hayo mambo mnatoa wapi?
Kama kafanya ujinga huo ni kwa vijana kizao cha 2000.
 
Snoop na P didy hata urafiki hawana,50 cent urafiki hawana hayo mambo mnatoa wapi?
Kama kafanya ujinga huo ni kwa vijana kizao cha 2000.
Wee unaambiwa jamaa hakuna wala kujali vijana, wazee cha urafiki wala nini. Yeyote mwanamme maarufu black American anatongoza na kusaundisha. Suge knight kaweka wazi kabisa snoop, 50 cent hadi dr Dre na floyd Mayweather wote kawatatua marinda.

Didy ni mpuuz.
 
Kwanini 50 anamchukia sana Didy?
Beef lao lilianza pale Mase aliyekuwa record label ya Bad Boy chini ya CEO Diddy alipotaka ajiunge G-Unit, kipindi hicho G-Unit inatikisa duniani.

Ila Diddy alikataa kumtoa Mase kwa kutumia mikataba yake na Mase. Deal likawa limeshindikana 50 Cent akawa amemaindi sana.

Mwaka 2005 Mase akaonekana kwenye video ya 50 Cent ya window shopper. Hapa Diddy alikasirishwa sana na kitendo hicho aliona kama amedharauliwa.

Hawajakaa vizuri 50 Cent akatoa diss track mwaka 2006 iliyoitwa The Bomb ambapo alimdiss Diddy kuwa ndiye anayejua nani alimuua Notorious BIG. Ukitaka ugombane na Diddy mtaje kuhusiana na kifo cha BIG

Beef lao limeendelea mpaka leo. Jana 50 Cent alikuwa anamponda sana Diddy baada ya maaskari kwenda kufanya uchunguzi kwenye mjengo wake wa Miami
 
Wabongo kama kawa mmeanza kujazia nyama speculation cc Nyani Ngabu
Kuna nilichosikia jana kwenye media kwamba ana tabia ya kurekodi wageni mbalimbali nyumbani kwake kwa kamera za siri, kisha ana shurutisha kutoa chochote kitu... hapa amewapata wengi mno... nadhani mengi yanakuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

halafu humu wapuuzi utawakuta wanatetea wanasema ndo usanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…