King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwahiyo kama mama yako anavaa bikini na wewe utavaa bikini kumuenzi?
Huo ni ushoga aisee..mwanaume unatoga nyusi na pua vipini kama malaya wa tabata
Kuna interview moja...usher aliuliza na mtangazaji kuwa kama baba mwenye watoto ,je yupo tayari kumpeleka mwanawe alelewe nyumbani kwa diddy....alijibu "HELL NO"Sasa jina lenyewe usher unategemea asipelekewe moto?
Amini mzee baba wengi ni mashogahalafu humu wapuuzi utawakuta wanatetea wanasema ndo usanii
Karibu wote aliowa sign kwenye label yake alikuwa anawafira kama condition ya kuwa promote. Amemla Usher Raymond, Meek Mill, TD Jakes
Naomba Katt Williams aje kudefend na kisauti chake kile πππ
Ikiwa ni kweli ,hizi shutuma za human trafficking na prostituion ni kweli , Pdidy ana wakati mgumu sana , hizi kesi hazijawahi kuacha mtu salama pale Marekani , kuna watu wakubwa kibao hapo hollywood na kwenye music industry wameozea lupango kwa hizi ishu , mfano ni Harvey Weinstein ,R Kelly nk , Jefrey Epstein na Ghislaine Maxwell pia alifungwa kwa ishu kama hizo ,za kufanya biashara ya ngono na trafficking ya watoto wadogo kutumika katika madanguro ya siri ,na wateja wakubwa ni watu powerful duniani .Anawarekodi wakiwa wanafanya nini hao wageni wake hapo nyumbani kwake ?
Kitupi jamaa ni bashaP Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia kuliko hata unavyofikiria. Alisimamia mchongo mzima wa kumuondia Tupac, watu wakaenda mbali na kusema jamaa alishiriki kummaliza hata BIG kwa kiwa alitaka kuwa peke yake kwenye lebel ya Bad Boyz. Akajua Faith Evance kwake si tatizo lolote, atajua kuishi naye kuliko BIG.
Halafu mambo anayozungumziwa kuwaingilia kinyume na maumbile wanaume wenzake yanashamiri sana, mchungaji TD Jakes na Jamie Foxx wanaweza kutuambia zaidi kwenye hili.
Ukizunguana na P Diddy, sahau kuwa nominated na tuzo za Grammy, mwamba ana maubabe yake kishenzi.
Ila dunia ni hiihii, kuwa mafia ujuavyo, end of the day utakuja kulipa hapahapa duniani.
Karma is a B*itch.
hawa wote kawafiraKaribu wote aliowa sign kwenye label yake alikuwa anawafira kama condition ya kuwa promote. Amemla Usher Raymond, Meek Mill, TD Jakes
ye ndo alikua anawala mikundu wenzie!!Ila mbona analiwa pia , umwamba vipi hapo
Epstein alikuwa anawarekodi hao clients wake wakati wakifanya ngono na watoto wadogo kwenye majumba yake kule New Mexico na New York na baadaye kutumia hizo videos kushinikiza analolitaka ,kama ni pesa au kitu chochote .Anawarekodi wakiwa wanafanya nini hao wageni wake hapo nyumbani kwake ?
Ina maana ni mchicha mwiba,kusema kampanda 50 cent wala snoopy haiingii akilini.50cents alishtuka akamwambia unasemaje? Diddy akakausha.
Diddy akikwambia kuwa anataka akupeleke ukafanye shopping maana yale anataka ukalale nae
Endelea kukomfim halafu tuletee mrejeshoKwa Bongo hasa mwanamke kuvaa kipini ni sign mbaya sana ,awali nilikuwa nasikia kwamba wanawake wanaovaa vipini wamekanyaga "grid" nikawa siamini ila kuna binti kitaani najua ameungua maana alikuwa analiwa na jamaa aliyeungua wa "Makumbusho" ,Juzi nilikutana yupo yeye na rafiki yake demu mwenzake wote wamevaa kipini nika-confirm aiseee.
Masikini hana kiapo na wala hashauriki....vijana wakiwa wanatafuta majina au kutoka kimuziki wapo tayari kuuza roho kufanya chochote kile ili watoboeIna maana ni mchicha mwiba,kusema kampanda 50 cent wala snoopy haiingii akilini.
Hata Mayweather eti na Tyson Wtf?
Ila vibwamdogo anaweza maana vilikua vinatafuta fursa.
ππππππππππ
Unyama huo pamoja na trade it all πππKula chuma kwanza kutoka Mnyama P Diddy
View attachment 2946395
Nyie mnaona jamaa anauza antivirus kumbe anafeerana na watoto kwa siri ili hela ziongezekeπIkiwa ni kweli ,hizi shutuma za human trafficking na prostituion ni kweli , Pdidy ana wakati mgumu sana , hizi kesi hazijawahi kuacha mtu salama pale Marekani , kuna watu wakubwa kibao hapo hollywood na kwenye music industry wameozea lupango kwa hizi ishu , mfano ni Harvey Weinstein ,R Kelly nk , Jefrey Epstein na Ghislaine Maxwell pia alifungwa kwa ishu kama hizo ,za kufanya biashara ya ngono na trafficking ya watoto wadogo kutumika katika madanguro ya siri ,na wateja wakubwa ni watu powerful duniani .
Hata Epstein alikuwa anawaalika akina Bill gates nk kwenye hayo madanguro kwenda kufanya ufedhuli wa ibada za ngono na homosexualities rituals kwenye hayo majumba
Ndio sababu hata ya Melinda Gates kuachana na Bill .
Hii dunia ione tu hivi , utajiri na fame watu wanapata kwa njia zao za giza wanazojua
Huyo simu dabo lainiye ndo alikua anawala mikundu wenzie!!
kwaiyo ye akipewa mbususu hafurahii kabisa
double laini ndo inakuajeHuyo simu dabo laini