P Funk achangia mil.5 kusafirisha mwili wa Mangwea

Hiyo hela katoa wapi?
Mbona clouds walishasema watatoa usafiri?
 
P. Funk ametoa kiasi cha Tsh.5m kusafirisha mwili wa Mangwea toka South mpaka Dar ilikuwa inatakiwa Tsh.4m na ushee.

Ni kweli kabisa Bongo Records wamechangia 5million lakini sio kwa ajiri ya kusafirisha mwili bali ni mchango wa kufanikisha mazishi. Jukumu la kusafirisha mwili limechukuliwa na Clouds Media ambao wamehaidi kulipia gharama zote za usafiri.
 
Thanks in advance majani kwa moyo wako.
 
Ni kweli kabisa Bongo Records wamechangia 5million lakini sio kwa ajiri ya kusafirisha mwili bali ni mchango wa kufanikisha mazishi. Jukumu la kusafirisha mwili limechukuliwa na Clouds Media ambao wamehaidi kulipia gharama zote za usafiri.

Kwani hiyo pesa haitoshi kumsafirisha?
Au lazima wao clouds ndo waonekane wamemsafirisha.
Sio wao waliReport kuwa hali imekuwa ngumu
Kifedha?
Au ndo walikuwa wanajisafishia njia
 
Big up P funky....dole gumba kwa kumpa vitasa mchomvu.......

clouds wanajifanya kujiweka mbele mbele waonekane...hawa jamaa hovyo sana
 
Dah! Mashindano?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Big up P funky....dole gumba kwa kumpa vitasa mchomvu.......

clouds wanajifanya kujiweka mbele mbele waonekane...hawa jamaa hovyo sana

Mkuu mchomvu kachezea vitasa?

Imekuwaje kuwaje tena?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hiyo hela katoa wapi?
Mbona clouds walishasema watatoa usafiri?

Kusafirisha maiti ilikuwa ni kwenye 4m hivi!so clouds kujishebedua kutoa usafiri ni ili tu wajionyeshe! P funk katoa zaidi ya usafiri!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwani hiyo pesa haitoshi kumsafirisha?
Au lazima wao clouds ndo waonekane wamemsafirisha.
Sio wao waliReport kuwa hali imekuwa ngumu
Kifedha?
Au ndo walikuwa wanajisafishia njia

Mkuu nihabarishe kidogo naona hyo thread ya mchomvu kupigwa vitasa imetolewa na mods!
 
Ha ha ha ha mkuu tumenusurika na Ban kule....!
Jamaa wa mtaa wa pili kachezea kichapo,...baba Joniii na kinywele kimoja.
 
Saaaaafi!
Yan ilikuwaje kuwaje?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Saaaaafi!
Yan ilikuwaje kuwaje?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Ha ha ha ha mkuu figganiga njo huku tuliendeleze sebene.
Mkuu mbona kama tulikuwa wote kule......kinywele kamwambia yule kijana waache uchocolate.
Ndo akachezea jamaa....!
 
Back
Top Bottom