Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P. Funk ametoa kiasi cha Tsh.5m kusafirisha mwili wa Mangwea toka South mpaka Dar ilikuwa inatakiwa Tsh.4m na ushee.
Hiyo hela katoa wapi?
Mbona clouds walishasema watatoa usafiri?
Ni kweli kabisa Bongo Records wamechangia 5million lakini sio kwa ajiri ya kusafirisha mwili bali ni mchango wa kufanikisha mazishi. Jukumu la kusafirisha mwili limechukuliwa na Clouds Media ambao wamehaidi kulipia gharama zote za usafiri.
Hiyo hela katoa wapi?
Mbona clouds walishasema watatoa usafiri?
Big up P funky....dole gumba kwa kumpa vitasa mchomvu.......
clouds wanajifanya kujiweka mbele mbele waonekane...hawa jamaa hovyo sana
Hiyo hela katoa wapi?
Mbona clouds walishasema watatoa usafiri?
dogo....P ni moja ya produza wa siku nyingi na mwenye mafanikio.....huweiz kumlinganisha na madogo wa juzi....Hiyo hela katoa wapi?
Mbona clouds walishasema watatoa usafiri?
Kwani hiyo pesa haitoshi kumsafirisha?
Au lazima wao clouds ndo waonekane wamemsafirisha.
Sio wao waliReport kuwa hali imekuwa ngumu
Kifedha?
Au ndo walikuwa wanajisafishia njia
Mkuu nihabarishe kidogo naona hyo thread ya mchomvu kupigwa vitasa imetolewa na mods!
Ha ha ha ha mkuu tumenusurika na Ban kule....!
Jamaa wa mtaa wa pili kachezea kichapo,...baba Joniii na kinywele kimoja.
Saaaaafi!
Yan ilikuwaje kuwaje?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums