King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
saa kali expensive sana mkuu!binafsi ni chizi saa na zinanicost sana....
Duh!kumbe bongo watu wana pesa?maana hata obama havai saa yenye thaman hyo.
kuna mitandao inauza saa ukiiona haina tofauti na halisi ila famba
Rolex ya $ 9250. ni kawaida sana kwa aina za hizo saa! naweza kusema is among the cheapest Rolex zilizopo madukani!
tusubiri jioni 2muulize vzr
me nauza yangu dola 800 ka ya P FUNK mbona saa zipo hadi dola lak
hiyo saa inauzwa sh.15,000 za kitanzania sio dola,
Ccm chama cha mapinduzi ,chama dume,dume la mbegu kama noma na iwe noma hamtuwezi!