P-Funk anavaa saa ya Rolex yenye thamani USD 9,250!

P-Funk anavaa saa ya Rolex yenye thamani USD 9,250!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Akichezesha taya na presenta wa nivarna,producer maarufu Pfunk alisema saa yake ina thamani ya pesa hyo,Uproducer unalipa au misifa tu!
 
saa kali expensive sana mkuu!binafsi ni chizi saa na zinanicost sana....
 
Duh!kumbe bongo watu wana pesa?maana hata obama havai saa yenye thaman hyo.
 
kuna mitandao inauza saa ukiiona haina tofauti na halisi ila famba
 
Rolex ya $ 9250. ni kawaida sana kwa aina za hizo saa! naweza kusema is among the cheapest Rolex zilizopo madukani!
 
Rolex ya $ 9250. ni kawaida sana kwa aina za hizo saa! naweza kusema is among the cheapest Rolex zilizopo madukani!

Pfunk anaweza vaa saa inayozidi thamani ya gari lake anayotembelea kweli? Saa mil 15?
 
me nauza yangu dola 800 ka ya P FUNK mbona saa zipo hadi dola lak
 
me nauza yangu dola 800 ka ya P FUNK mbona saa zipo hadi dola lak

True dat nakumbuka Shady Aftermath ilivyom-sign filisenhe(50 cent) walimnunulia saa ya USD500,000/= ila ni kweli pfunk anavaa saa ya mil15?
 
Ccm chama cha mapinduzi ,chama dume,dume la mbegu kama noma na iwe noma hamtuwezi!
 
Back
Top Bottom