Baba yako
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu kwani baba ni tusi or any kind of insult?hujasoma sheria nn mkuu wangu!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu tuijadili mada hapa mezani,u r not sure kwn ww ndo unatukanaga hivi?don't judge me!!Hivi hujaona jinsi ulivyoijibu kuwa ni ile staili ya kutukania kiflani kwa inavyotumika? Unajua ulichofanya na bado unabisha. Umemwendea na maneno hayo mawili kumwingia yeye direct, hii haitakiwi.
Ebwanaeh! Me mpaka hivi sasa nabaki kucheka tu kwahili jibu, lakini binafsi nakubaliana nailo jibu sabu linaendana na swali lenyewe. Ameuliza utumbo amejibiwa kunya.
kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
unga bora wa azamuChanzo cha kifochake ninini?
yetu macho.....wataanza kuturushia ibada live nakwambiaHahaha, hujatulia we mtoto
P.funk aka majani ameweka tweet katika wall yake na kukataza au kupiga ban nyimbo zote za mangwair(R.I.P) kupigwa clouds FM
Sababu ya juu juu ambayo naweza kuiwakilisha ni kutokana na bifu...m
Nitaendelea kuleta updates zaid badae
ushaidi huu hapa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
nipo simiyu mkuuSmile unakaa maeneo ya mavurunza nini??,maaana umenichekesha sana.