P.Funk majani amekataza nyimbo za Ngwair kupigwa CloudsFm

Aliwajibu kwamba, kama kutoana bila kipaji ni ishu, basi wawatoe wake zao, ^^^^ zao na watoto wao wa kike ili wawe nyota kama yeye! Hatuwezi kufumbia macho unyonyaji
Na tena jitahidi sana kupingia hapo kwenye KEYBOARD
 
kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
Wewe tutake radhi watu wa Mavurunza. nyimbo zao ni nzuri sana lakini bandiko lako yaelekea kuzijkandia bila sababu
 
Na tena jitahidi sana kupingia hapo kwenye KEYBOARD

Mie ni mdau kwenye masuala hayo. Ukisikia kuna vikao kati ya Basata/Cosota na wasanii ujue na mie nimo. Hapa tunatumia pen names ndio sababu hatujuani.
 
Mie ni mdau kwenye masuala hayo. Ukisikia kuna vikao kati ya Basata/Cosota na wasanii ujue na mie nimo. Hapa tunatumia pen names ndio sababu hatujuani.
Vizuri kwa hilo, cha ajabu mna miaka mingi sana kwenye huo UDAU, na naamini na hao mnaowaita wanyonyaji wapo miaka nenda rudi... SIJAONA MCHANGO WENU ZAIDI YA KUJAZA KWENYE MAKARATASI NA SEVA ZA JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…