P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

Anasema tu. Sasa yeye na Kajala nani anamjua mtoto zaidi ya mama. Anajifaragua tu. Simple amtafuta Kajala halafu amuulize je ni mwanetu ama akipata jibu amtafute huyo mtu amle mfereji ndio ataijua serikali vyema. Amuulize yule jamaa aliyemfira mande jamaa aliyemfumania na mkewe. Mke yupo uraiani jamaa kala life behind bars. Nimempuuza na kiki yake ya kitoto.
 
Hata mie nawashangaa wajamaa wanavyo mkweza Majani. Yeye mwenyewe anajua ataumia akifanya upuuzi kama huo.
 
Huyu jamaa aje mwenyewe pekee yake bila wapambe nampiga ngumi anaanguka chali kwenye mchanga
[emoji23][emoji23][emoji23] well done is better than well said muulize mjomba wako jose chamillione atakupa story za huyu mzee majani
 
Wewe jamaa akili yako ya kitoto sana. Kua uyaone.

Wakati WCB beef lao na Ruge limekolea mpaka kufikia stage ya Babu Tale kuvujisha video ya Nandy na Billnass ulijua hata imevujaje ??

Uliiona kwenye page yoyote ya Babu Tale au kumsikia akiliobgelea hilo ??? Hata walipoitwa polisi kina Carrymastory, Nandy, Billnass, huyo Babu Tale aliitwa ???

Try to think.
 
Hata wale ambao walikuwa suspected still babu tale hakuwemo Ila still we unatuaminisha aliyevujisha ni babu tale 😀😀 we jamaa akili yako huwa ina kinyesi cha mbuzi
 
Babutale kaivujisha aliipata vipi,wakati video ili rekodiwa na Nandy na Billnass?

Sasa Babutale yeye aliipata vipi au Nandy na Billnass walimpa Babutale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…