Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Watu wanafiki kama Ashimu Sabiti (nimeliandika jina hivyo makusudi) hachelewi kusema yeye haoti nywele za uvunguni na hajawahi panda daladalaHuyu kijana Hashimu Thabiti (Hasheem Thabeet) Kama anavyojiita siku hizi, ndio huwa ananishangaza sana mkuu. Maisha aliyotokea na muda alioishi States eti Kiswahili kinampa shida!!!!!! Huwa nachoka kabisa nikimsikia anaongea.
Hahaha umemaliza kabisa mkuu. Hakawii kukana kwamba hajazaliwa Tanzania. Anasikitisha sana bwana mdogo.Watu wanafiki kama Ashimu Sabiti (nimeliandika jina hivyo makusudi) hachelewi kusema yeye haoti nywele za uvunguni na hajawahi panda daladala
Baba ndio mswidi na mama mwarabu nakumbuka interview yake ya kitambo kidogo.Nahisi ana damu ya kijerumani au kiswideni kwa mama au baba.ila sina hakika sana.
KolomijeKwenye interview yake kuna msanii kamtaja WA mambele anadai wamezaliwa kijinji kimoja sasa sijamwelewa kijiji cha wapi
Wewe utakuwa umechanganya. Namfahamu Paul tangu utotoni. Mama yake Mtanzania kabila Mbena, baba yake Mholanzi.Baba ndio mswidi na mama mwarabu nakumbuka interview yake ya kitambo kidogo.
Mkuu Frankly speaking, hizo lips za kwenye Avatar yako hua zinanifanya nisisimke sana.P funky baba ake ana asili ya uholanzii...
Bila kusahau "actually" na "of course" nyiingi.Hata sisi wa Kwamtogole pia, tukiishaanza tuition pale kwa Ras Simba basi tunaongea "you know let me tell you, yule jamaa bwana, I don't think so"
IST ndo nnP Funky. Paul nimekua nae Masaki mwisho. Baba ake Mholanzi mama ake mbongo Mbena. Kasoma IST nimempiga sana makonzi utotoni ila baadae akawa bonge la mtu mbabe balaa!
Alikuwa ana hobby ya muziki tangu utotoni, party kwao tumeziruka sana na watoto wa IST, Paul ndio alikuwa dj na vyombo vyake vya muziki. Baadae akanunuliwa vifaa vya studio kwao akina mastet j wote na wengineo walikuwa wanakuja kurekodi kwa akina Paul long time.
Sasa mbona watoto wake hawana hata chembe za uarabu au uzunguBaba ndio mswidi na mama mwarabu nakumbuka interview yake ya kitambo kidogo.
International School of TanganyikaIST ndo nn
International School of TanganyikaIST ndo nn
Baba wa p alikuwa mkulima wa chai njombe ndipo alipompata mama p so inawezekana p alizaliwa njombeKwenye interview yake kuna msanii kamtaja WA mambele anadai wamezaliwa kijinji kimoja sasa sijamwelewa kijiji cha wapi
International School of Tanganyika.IST ndo nn
Hapo hao wana tofauti gani na wewe unayekesha kutafuta Vocabulary ili uje ukomoe watu humu JF? Tena wakati mwingine una quote mtu aliyeandika Kiswahili safi kabisa na wewe kumwaga malugha yako..kutaka kujifanya u wa hali na hadhi fulani [kwa kuchomekea sana maneno ya Kiingereza].
Huyu kijana Hashimu Thabiti (Hasheem Thabeet) Kama anavyojiita siku hizi, ndio huwa ananishangaza sana mkuu. Maisha aliyotokea na muda alioishi States eti Kiswahili kinampa shida!!!!!! Huwa nachoka kabisa nikimsikia anaongea.
Niliskiaga hollandNahisi ana damu ya kijerumani au kiswideni kwa mama au baba.ila sina hakika sana.
international school of TanganyikaIST ndo nn
Ivi ni msweed kumbe maana niliskiaga ni mnetherlandBaba ndio mswidi na mama mwarabu nakumbuka interview yake ya kitambo kidogo.
Hapa kweli hata mimi najua ni mholanziNi mtanzania ila ana asili ya uholanzi