P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

Gashinaga ule ong'wise? Ofumile Ntuzu? Hale bariadi?
 
Pye ukunuko nale ng'wenyeji.

Usengi one utumamaga ahi kanisa e Somanda makanza ga ng'wa padri Gappa.
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] heshima yako bro licha ya kuishi ughaibuni miaka yote hiyo unaandika kisukuma fasaha kabisa(matumaini yangu hata kuongea bado unakumbuka)

Kilicho nifurahisha zaidi mitaa na maeneo ya ntunzu bado unayakumbuka vizuri
 

Hahahaa nde namba nyhafu unene ong'wa faza.

Kwenye kuongea hapo acha kabisa. Hutaweza kuamini masikio yako.

Wengine hata Kiswahili eti huwa wanashangaa nakijuaje.

Nami huishia kuwacheka tu kwa ujinga na usadiki wao.
 
P funky baba ake ana asili ya uholanzii...
NAANZISHA UBUYU HAPA HAPA!
sasa kweli kabisa damu ya kiholanzi ndo PAULA ASIRITHI HATA RANGI YA KUCHA?
yani kweli hata macho ,maaaacho kweli hata nyusi!
aaaaaaaaaaaaaaaaaaah bana weeeeeeeeee hata mi nimesoma biology ,japo nilipata F lakini genetics nilisoma introduction na reproduction nina notes zote toka mwanzo mpk mwisho!
warumi njoo huku tuyajenge.
 
Huyu kijana Hashimu Thabiti (Hasheem Thabeet) Kama anavyojiita siku hizi, ndio huwa ananishangaza sana mkuu. Maisha aliyotokea na muda alioishi States eti Kiswahili kinampa shida!!!!!! Huwa nachoka kabisa nikimsikia anaongea.
hahahahhahahaa sasa Hasheem nae hajui Kiswahili hajui kiingereza!?
 

Duh.......... nimecheka balaa
 
Numeuliza hilo swali Hakuna aliyeni NJ bu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo neno hiloo...!!mm pia sikubali hata sifurii

halafu wenzie sasa weupeee 0.5 pyuaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo neno hiloo...!!mm pia sikubali hata sifurii

halafu wenzie sasa weupeee 0.5 pyuaaa
...mtu mzima kuonesha ujinga wake hadharani ni aibu sana;
..vitu vingine uwe unavunga tu,
.....sasa usipokubali wewe inabadilisha nini!
 
4th line first word.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…