P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

Una uhakika na ulisemalo. ...ungesema anaishi nyumba aliyonunuliwa na wazazi wake ningekuelewa....

pia jino moja mswaki wa nini...mtoto wa pekee nyumba masaki na nyingine uswahilini na nyingine Rotterdam sijui Amsterdam akapange ili za kwake akae nani?
Acha kupanic p funk kama angekuwa na hizo nyumba unazosema wala asingeendelea kukaa pale bamaga, ila nyumba anayokaa ni ya kawaida sanaaa
 
Pale Nairobi kenya kuna msanii moja maarufu kwa jina la nyashinski,ni mmoja ya wasanii waliounda kundi la cleptomaniaz lilitomba mwanzoni/katikati ya miaka ya 2000 (kwa wale ma-old school watakuwa wanamfahamu)

baadae nyashinski alienda marekani na kuishi huko miaka 10 lakini mpaka leo anazungumza sheng (kiswahili cha kikenya) kwa ufasaha.

halafu eti Leo akina "hashimu thabati" wanajitia kutoweza zungumzia kiswahili kwa ufasaha wakati waliondoka bongo wakiwa watu wazima.....

lilitomba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji533][emoji533][emoji533] ulikuwa juu ya kiuno nn mkuu
 
Unaanza kutaja sifa za babako!
dah!
hasara kwa mkewe!
kuwa na toto punga na mume jinga?
...mumeo si ''rijali wa sura na tabia?''...kumbe unaijuaga ile michezo yake pale Motel Jasmeena;
..halafu,ushamuulizaga yule mwanaharamu wenu ni wa kwake kweli,
..au unakaa kufuatilia ya watu tu yasiyokuhusu...mbaff,jitu zima hovyo sana wewe!
.bure kabisa!
 
Eti "lilitomba miaka ya 2000 aisee watu mwajua kuvunjana mbavu
 
Ma
Jamaa ana asili ya ki-dutch.
Kati ya mama yake au baba yake ni muholansi (maana nakumbuka kwenye interview yake ya nyuma alishasema kuwa "waholansi ni wabaguzi, na alienda huko kwa mzazi wake na akaw akipita mtaani watu wanamnyoshea kidole")
mama ndo mdutch
 
Ila mkuu P-Funk yuko smart sana kichwani na huwa ninamkubali hapendi shobo shobo za kijinga.
Yeye na kazi tu.
 
Pale Nairobi kenya kuna msanii moja maarufu kwa jina la nyashinski,ni mmoja ya wasanii waliounda kundi la cleptomaniaz lilitomba mwanzoni/katikati ya miaka ya 2000 (kwa wale ma-old school watakuwa wanamfahamu)

baadae nyashinski alienda marekani na kuishi huko miaka 10 lakini mpaka leo anazungumza sheng (kiswahili cha kikenya) kwa ufasaha.

halafu eti Leo akina "hashimu thabati" wanajitia kutoweza zungumzia kiswahili kwa ufasaha wakati waliondoka bongo wakiwa watu wazima.....

Mkuu jitahidi kuwa una hariri maandishi yako kabla haujarusha hewani. usije kuwa kamaTBC
 
...mumeo si ''rijali wa sura na tabia?''...kumbe unaijuaga ile michezo yake pale Motel Jasmeena;
..halafu,ushamuulizaga yule mwanaharamu wenu ni wa kwake kweli,
..au unakaa kufuatilia ya watu tu yasiyokuhusu...mbaff,jitu zima hovyo sana wewe!
.bure kabisa!
AHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHAHA!
pooooovu poooovu best!
TWENDE TARATIBU!

motel jasmeena ndo wanapokuvunjaga dhakar enh?
saaasa umepamiss jasmiiiina au umewamiss wanaokutia kilema cha kiuno mpk vidole!?
Ila na mi name mfukunyukuuuuu sasa nayafuatilia ya nini na linalovunjwa ni hilo jijongoo ulilonalo?
heb niache umbea !
 
Eti familia bora unaelewa maana ya familia bora? Hebu nenda kaangalie nyumba yao pale bamaga
P Funk amesoma IST, wewe hata ujambe ushuzi hapa mpaka Ntwara kwenye ukoo wenu hakuna hatakayethubutu kugusa IST bwege kabisa.

Kuwa na nyumba tu Bamaga ni ushindi tosha kwa waelewa pimbi wewe.
 
NAANZISHA UBUYU HAPA HAPA!
sasa kweli kabisa damu ya kiholanzi ndo PAULA ASIRITHI HATA RANGI YA KUCHA?
yani kweli hata macho ,maaaacho kweli hata nyusi!
aaaaaaaaaaaaaaaaaaah bana weeeeeeeeee hata mi nimesoma biology ,japo nilipata F lakini genetics nilisoma introduction na reproduction nina notes zote toka mwanzo mpk mwisho!
warumi njoo huku tuyajenge.
Kwakuwa nimemsikia Rais Magufuli ni mpenzi wa Shilawadu kwa sasa umbea ni jambo la heshima kubwa na lenye hadhi.

Pigeni umbea kwa kujidai mnayo support ya Rais naye ni mshabiki wa Shilawadu.
 
Vijana wengi wa Kitanzania hususan hawa millennials hupata shida kuongea Kiswahili kitupu kilichonyooka.

We jaribu kumsikiliza yule mwigizaji Lulu uone.

Jaribu tu kuwasikiliza wabongo fleva...hata Diamond naye siku hizi kaanza kuwa hivyo.

Yule mcheza kikapu Hashimu Thabiti ndo kabisaaa....utadhani hajazaliwa Dar au Tanzania. Huwa anapata shida sana kuongea akiwa anaongea Kiswahili.

Sijajua hasa tatizo ni nini lakini ninahisi mojawapo ya sababu ni kutaka kujifanya u wa hali na hadhi fulani [kwa kuchomekea sana maneno ya Kiingereza] na pia kutokujua vizuri lugha yoyote ile, iwe Kiswahili au Kiingereza[B/]

Hapo nilipokoleza ndio umenichekesha[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom