P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

Afande Chacha alikuwa ananikera kwa kudhalilisha mabinti!! Lile bwawa la adhabu bado lipo?!
Unajua ni kitambo sana kaka na niko mbali na DSM ...ila ipo siku nitarudi pale shule kutembea...babu chacha walikua wanamwita Babu Love
 
Hakuwa na nguvu awamu ya JK bali alikuwa na nguvu wakati yupo NBA! Na huko kumtandika mitama TID hakuhusiani chochote na JK manake, tangu enzi za Mwarabu, na hatimae Mjerumani kisha akaja Mwingereza na hadi enzi za Nyerere na hadi kesho; watu wenye midomo kama TID walitandikwa na wanaendelea kutandikwa mitama!!
Kwaiyo kama marudio tu?
 
Huyu kijana Hashimu Thabiti (Hasheem Thabeet) Kama anavyojiita siku hizi, ndio huwa ananishangaza sana mkuu. Maisha aliyotokea na muda alioishi States eti Kiswahili kinampa shida!!!!!! Huwa nachoka kabisa nikimsikia anaongea.

Sasa hivi hata kingereza kitakuwa kinampiga chenga atakuwa anaongea kijapani
 
Back
Top Bottom