P MAWENGE: Nahamia weusi

Namimi nianze
 
Ile huwendi mbinguni kumbe ndio huyo whozu?

Aisee si unaona sasa hii ngoma imetrend sana kwenye maduka ya mtaani ila sikuwa kujua jina la nyimbaji
Yeah... Yule ndo Whozu. Ila tofauti na Huendi Mbinguni... Hakuna wimbo mwingine utamwelewa.
 
Maoni yangu ni kuwa. Si lazima uwe na majina ya ajabu ajabu ndipo uonekane wewe ndio mwana hip hop mkali.
P.MAWENGE
WEUSI
KIKOSI KAZI
😎
M.A.W.E.N.G.E

M. Moving
A. Art
W. With
E. Education’s
N. Now
G. Getting
E. Easier
 
M.A.W.E.N.G.E

M. Moving
A. Art
W. With
E. Education’s
N. Now
G. Getting
E. Easier
Hivi vitu utapata JF tu. Wakati mwingine huwa natamani sana kuandika articles kuhusu wasanii wetu. Hasa wa Hip hop kule Wikipedia. Nadhani round hii nitapata wachangiaji
 

Track kali
 
WEUSI ndio kundi bora la hiphop Tanzania. Hawa wengine ni takataka tu zimejikusanya na kujiita kundi la hip hop
 
Huyu jamaa kadhamiria aise.
All in all ndio game lenyewe hilo.
 
P mawenge , sema jamaa anajuwa kudiss mbaya , kila nikikumbuka hii verse

"Na wewe mwenye virasta kaa msyuka"
"Nitavikusanya nivikate hata nachupa "

Huwa nabaki nacheka tuuu kwa kweli.
 
P mawenge , sema jamaa anajuwa kudiss mbaya , kila nikikumbuka hii verse

"Na wewe mwenye virasta kaa msyuka"
"Nitavikusanya nivikate hata nachupa "

Huwa nabaki nacheka tuuu kwa kweli.
Kumbe picha na Cassper imegusa MaMc[emoji23]
 
Hivi vitu utapata JF tu. Wakati mwingine huwa natamani sana kuandika articles kuhusu wasanii wetu. Hasa wa Hip hop kule Wikipedia. Nadhani round hii nitapata wachangiaji
Wadau tupo mzee ukiwa na mada yako wala usisite, tena ikiwezekana unatutag kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…