Mziki wa weusi umekaa ki-commercial yani zile flavour za underground huzipati, afu hata kwenye hiyo hiyo commercial walau wangekua na content ya kuelewekaWEUSI ndio kundi bora la hiphop Tanzania. Hawa wengine ni takataka tu zimejikusanya na kujiita kundi la hip hop
Wanabebana sana mpaka inafika hatua wanaimba visivyo na maanaKweli. Lakini watu wa Arusha wana shida sana[emoji23]
Ni kama walivyokuwa watu wa Mbeya zamani.
Na ile ya marapa mizigoP mawenge , sema jamaa anajuwa kudiss mbaya , kila nikikumbuka hii verse
"Na wewe mwenye virasta kaa msyuka"
"Nitavikusanya nivikate hata nachupa "
Huwa nabaki nacheka tuuu kwa kweli.
Ki ukweli kama unapenda real hip hop, utakua mbali kidogo na commercialMziki wa weusi umekaa ki-commercial yani zile flavour za underground huzipati, afu hata kwenye hiyo hiyo commercial walau wangekua na content ya kueleweka
Presenter wa radio flani ilikua na matamasha makubwa Tz,. Na jamaa flani muda mwingine hujiweka rapperAfande sele naye aliwachana the same
Pia kuna presenter simkumbuki jina naye alikutwa na tuhuma hizo za kuwa-favour weusi kwasababu ya ukanda
nilikua mtupu nikaokota buku nikabukuka, leo nasimulia tungo tukufu ni kama rufufu kafufuka.../Nilikuwa mweupe nikaokota book nikabukuka.
Na maji ni ya shingo yanawapalia madingi kooni.
Cado na fregeKesho ntakuwekea hapa clip zake tena nyingine akiwa na cado, utofauti wa frege ni kwamba hafanyi battle za ku attack mpinzani, mara nyingi yeye anafanya zile freestyle kutokana na mazingira yaliyomzunguka
Ila ni hatari sana
Ila lordy eyez anajitahidiHao nao sijui wanachanaje, wana sound hovyo.
Interlude ina beat zuri, wameshindwa kuitendea haki
Weusi naona G-nako yuko vizuriIla lordy eyez anajitahidi
Jamaa ana play role zote kwenye commercial yupo fit ukimshirikisha kwenye anapita kama yake, kwenye michano yuko vizuri pia.Hata mimi naona hivyo
Hii tungo ina maana na ina uhalisia.Ebu fikiria tu kidogo nikki alipoimba
Alisema nchi ya viwanda, njoo uone nchi ya vibanda
Kadhalika tungo hii ina maana nusu nusu.Dizasta: Utakapochukua wasaa utagundua ulimpa saa alipohitaji muda wako
Tungo hii ina uongo na mtunzi anaonyesha hakuwa anajua nini anachokiandika.Songa: Hata chakula ni uchafu na ndio maana una nawa baada ya kula
Hii ni ada ya kimaumbile wala hakuna uhusiano kati ya kulia na ubaya wa dunia,sababu tutakuuliza amejuaje hili ?Songa: Duniani ni kubaya na ndio maana ukizaliwa tu unalia
Lord Eyes mwendo kaumaliza, sikuhizi hana mistari kabisa, bora alivyoamua kuimba Amapiano[emoji16]Ila lordy eyez anajitahidi
We jamaa nahisigi ni dizastaNaona umemaliza na quotes ya dizasta
Imenibidi nicheke kwanzaNimejaribu kuusoma uzi mpaka hapa nilipofikia. Mimi ni mdau mkubwa sana wa Mashairi ila si mdau wa muziki wa aina yoyote ile.
Nasimama katika fani adhimu,fani ya ushairi kama ambavyo baadhi ya wasanii wanavyojinasibisha.
Kupitia uzi huu nilicho kiona ni kuwa wengi ni wapenzi wa sanaa ya kucheza na maneno ila si wapenzi wa ukweli na maana halisi. Tungo nyingi zilizo wekwa humu kama marejeo ya wahusika wa tungo hizo hazina ukweli wala maana bali zina sanaa ya kucheza na maneno na utovu wa adabu.
Natamani sana pangekuwepo watu wenye maarifa maana wa kuchambua tungo hizo. Mifano iko mingi sana.
Hii tungo ina maana na ina uhalisia.
Kadhalika tungo hii ina maana nusu nusu.
Tungo hii ina uongo na mtunzi anaonyesha hakuwa anajua nini anachokiandika.
Hapa tutamuuliza mtunzi kwa msingi gani chakula ni uchafu ? Kuna ndiyo kigezo cha kufanya chakula kiwe kichafu ?
Hii ni ada ya kimaumbile wala hakuna uhusiano kati ya kulia na ubaya wa dunia,sababu tutakuuliza amejuaje hili ?
Swali la msingi ni kwanini hizi tungo za Wasanii wanaziita mashairi ? Je ni kwa mazoea au ?