P MAWENGE: Nahamia weusi

Me naireverse hiyo. Kado alikalishwa na TOXIC kwenye Big Sunday Night ya Wasafi. Though kwa wote bado siipendi ile tabia ya kuhusisha unyonge, udhaifu n.k na wanawake.
 
Hahahahaah... Kuna interview flani hivi ya Snoop Doggy anawaongelea. Kanifurahisha sana[emoji23]
Hawajama bhana sijawahi kuwaelewa kabisa, nyimbo nzima ataimba maneno hayazidi kumi skrrrr nyingi, unakutana na designer[emoji23][emoji23][emoji23] sijui alien yule
 
Hawajama bhana sijawahi kuwaelewa kabisa, nyimbo nzima ataimba maneno hayazidi kumi skrrrr nyingi, unakutana na designer[emoji23][emoji23][emoji23] sijui alien yule
[emoji23][emoji23][emoji23]
Na nyingi hazina maudhui ya kueleweka.
 
Ghetto freestyle pia mchizi huwa anamaliza kila kitu,
 
Toxic Fuvu. Huyu kijana ni hatari sana.
Cado alimchana toxic akamuambia

watu wanakuona kwenye vidio, mtoto wakike hauna hata makalio.../

Toxic akamjibu

Usitake kunitisha kama mtoto mdogo, mara anakaa anaongelea mpododo.../

Mpododo? kwani we mpododo huna, au unataka mpaka nikuzungukie kwa nyuma.../
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bro una kumbukumbu sana. Hiki ndo kitu ambacho huwa sipendi kwa hawa vijana wa freestyle.

TOXIC aliwahi kumchana mdau mwingine hapo hapo Big Sunday Night akamwambia "Mi Daimond nishindane na Zuchu!"
 
Toxic Fuvu
 
Mteganda alikua anampiga cado kwa punchlines za kiuhalisia kulingana na jamaa anavyopiga weed

Cado alikuja na comeback moja hapo aisee alitisha sana
 
Kina migos ndo wamekuja kutuharibia hip hop hawa, naona tabia hii imeanza kuenea mpaka huku nawaona kina lunya wameiga
Young lunya anajiita G.O.A.T [emoji2211][emoji2211][emoji2211] daaah maisha yanaenda kasi sana
 
Alafu ukimwona mtaani wala hauwezi mdhania unaeza mchukulia kama mshamba fulani hiv.

Sijui kwann watu weny uwezo mkubwa wa kufanya mambo kwa ukubwa huwa wanakuwa wa kawaida ukiwatazama hawanaga mbwembwe.

Ila ukitaka kuwajua uwakute sehemu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…