P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

Nowadays ni Nyauloso[emoji23]
Kuna mahali nilisikia story eti alikuwa anajiita Bonge la Nyau sababu ya dem. Alipoachwa ndo akarudia jina lake. Though ni story za mtaa tu ambazo huenda zimekuwa inspired na ule wimbo wa Vice versa (ft Barnaba)
Umenikumbusha hii ndo trend ya wasanii wengi wa hapa bongo ilivyo

Wengine walitunga nyimbo ya breakup baada ya kufarakiana na demu wake by coincidence nyimbo ikapendwa mtaani, jinsi maumivu ya kuachwa yanavyopungua na ndio uwezo wa kuimba vizuri unapunguua
 
Hapana mkuu sijawahi msikia ila ngoja nitamtafuta nione mautundu yake
Ukipata muda mcheck hautajutia mkuu kwa utundu wa huyu bwana kwenye 'Freestyle off the top the dome'
Kwenye channel yake anafanya freestyle session hizi

*Word play Wednesday _hii anafanya online

*Guerilla bars_ hii public freestyle

*Omegle bars _na hii pia anafanya online kila ijumaa saa 7:00 anapandisha video.

Kwa muda mfupi tu alioanza kuweka video youtube saizi anaenda Kwenye 2M subscriber.

Hapa hakuna cha Eminem wala nani kweny freestyle kwa huyu mwamba lakini jamaa wala hana noma yupo humble balaa ana wa-respect legends wote wa freestyle kama akina Eminem Mc supernatural, juice mc ambao alikuwa akiwaangalia alipokuwa mdogo.
 
Umenikumbusha hii ndo trend ya wasanii wengi wa hapa bongo ilivyo

Wengine walitunga nyimbo ya breakup baada ya kufarakiana na demu wake by coincidence nyimbo ikapendwa mtaani, jinsi maumivu ya kuachwa yanavyopungua na ndio uwezo wa kuimba vizuri unapunguua
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unayempenda kampenda mwingine
 
Ukipata muda mcheck hautajutia mkuu kwa utundu wa huyu bwana kwenye 'Freestyle off the top the dome'
Kwenye channel yake anafanya freestyle session hizi

*Word play Wednesday _hii anafanya online

*Guerillab bars_ hii public freestyle

*Omegle bars _na hii pia anafanya online kila ijumaa saa 7:00 anapandisha video.

Kwa muda mfupi tu alioanza kuweka video youtube saizi anaenda Kwenye 2M subscriber.

Hapa hakuna cha Eminem wala nani kweny freestyle kwa huyu mwamba lakini jamaa wala hana noma yupo humble balaa ana wa-respect legends wote wa freestyle kama akina Eminem Mc supernatural, juice mc ambao alikuwa akiwaangalia alipokuwa mdogo.
Kibongo Bongo unahisi nani ni mkali wa freestyle?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi virapper na vikanyagia kwenda chooni...
Ngumi zangu naelekeza kwenda kooni, njooni...navikundi vyenu vya kunguru/ tunachapa manati ile mafansi washukuru/

Anthem hiyo.. Kwangu mimi Verse ya mwisho ya uno ilitisha zaidi
 
Songa yuko vizuri sana ila pia kwenye uandishi japo huwa nashindwa kuelewa kwenye nyimbo yake "NDEGE" alikua na maana nyingine au ndo alizungumzia ndege kama maudhui ya nyimbo
Hahaha the same attitude

Mi mwenyewe naiskizaga naishia kutabasamu tu ila nacho mkiona ni kwamba jamaa alitaka watu wajifunze kufikiria upande wapili wa sarafu

Unaweza ukawa unapiga mihayo, lakini kiziwi anayekutazama akahisi tu unapiga kelele.../
 
Nimefanya mengi, kipi utaniuliza/.? Kwaheri[emoji2211]
Sijui unawakilisha wapi, nachafua tanzania nenda kawaulize wasafi.../

Niite moko wa miujiza, nishafanya mengi kipi utaniuliza.../
 
Hahaha the same attitude

Mi mwenyewe naiskizaga naishia kutabasamu tu ila nacho mkiona ni kwamba jamaa alitaka watu wajifunze kufikiria upande wapili wa sarafu

Unaweza ukawa unapiga mihayo, lakini kiziwi anayekutazama akahisi tu unapiga kelele.../
Nimeisikiliza hii ngoma. Nikakumbuka kuna mahali mtu aliwahi kuuliza "Vipi kama mimea ndo inakula wanyama?"
 
Hahaha the same attitude

Mi mwenyewe naiskizaga naishia kutabasamu tu ila nacho mkiona ni kwamba jamaa alitaka watu wajifunze kufikiria upande wapili wa sarafu

Unaweza ukawa unapiga mihayo, lakini kiziwi anayekutazama akahisi tu unapiga kelele.../
Hiyo verse ndo ilinitoa kwenye reli kidogo nkashindwa jiuliza huyu jamaa anazungumzia ndege au ana maana yake
 
Back
Top Bottom