Thas trabo
Senior Member
- Mar 5, 2021
- 130
- 239
Ngoma ya kitambo kidogo isikilize kwa makini mkuu, uje utupe feedback[emoji120]Ndege bado sijaisikiliza. Ila Tamaduni Muziki wako vizuri kwa ujumla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma ya kitambo kidogo isikilize kwa makini mkuu, uje utupe feedback[emoji120]Ndege bado sijaisikiliza. Ila Tamaduni Muziki wako vizuri kwa ujumla.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi virapper na vikanyagia kwenda chooni...
Anajiita Zaiid..rapper peke aliepita na beat la eminem "lose yourself"[emoji23][emoji23][emoji23]
Anamaanisha nini anaposema "pekee"?Anajiita Zaiid..rapper peke aliepita na beat la eminem "lose yourself"
Umenikumbusha hii ndo trend ya wasanii wengi wa hapa bongo ilivyoNowadays ni Nyauloso[emoji23]
Kuna mahali nilisikia story eti alikuwa anajiita Bonge la Nyau sababu ya dem. Alipoachwa ndo akarudia jina lake. Though ni story za mtaa tu ambazo huenda zimekuwa inspired na ule wimbo wa Vice versa (ft Barnaba)
Ukipata muda mcheck hautajutia mkuu kwa utundu wa huyu bwana kwenye 'Freestyle off the top the dome'Hapana mkuu sijawahi msikia ila ngoja nitamtafuta nione mautundu yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha hii ndo trend ya wasanii wengi wa hapa bongo ilivyo
Wengine walitunga nyimbo ya breakup baada ya kufarakiana na demu wake by coincidence nyimbo ikapendwa mtaani, jinsi maumivu ya kuachwa yanavyopungua na ndio uwezo wa kuimba vizuri unapunguua
Namaanisha since 2004 sijaona freestyle yoyote kwa hapa bongo alie rap kutumia beat la lose yourselfAnamaanisha nini anaposema "pekee"?
Kibongo Bongo unahisi nani ni mkali wa freestyle?Ukipata muda mcheck hautajutia mkuu kwa utundu wa huyu bwana kwenye 'Freestyle off the top the dome'
Kwenye channel yake anafanya freestyle session hizi
*Word play Wednesday _hii anafanya online
*Guerillab bars_ hii public freestyle
*Omegle bars _na hii pia anafanya online kila ijumaa saa 7:00 anapandisha video.
Kwa muda mfupi tu alioanza kuweka video youtube saizi anaenda Kwenye 2M subscriber.
Hapa hakuna cha Eminem wala nani kweny freestyle kwa huyu mwamba lakini jamaa wala hana noma yupo humble balaa ana wa-respect legends wote wa freestyle kama akina Eminem Mc supernatural, juice mc ambao alikuwa akiwaangalia alipokuwa mdogo.
Ngumi zangu naelekeza kwenda kooni, njooni...navikundi vyenu vya kunguru/ tunachapa manati ile mafansi washukuru/[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi virapper na vikanyagia kwenda chooni...
Ahaaa.. Labda hivyo. Lakini huenda tu hawajataka.Namaanisha since 2004 sijaona freestyle yoyote kwa hapa bongo alie rap kutumia beat la lose yourself
Nimefanya mengi, kipi utaniuliza/.? Kwaheri[emoji2211]Ngumi zangu naelekeza kwenda kooni, njooni...navikundi vyenu vya kunguru/ tunachapa manati ile mafansi washukuru/
Anthem hiyo.. Kwangu mimi Verse ya mwisho ya uno ilitisha zaidi
Hahaha the same attitudeSonga yuko vizuri sana ila pia kwenye uandishi japo huwa nashindwa kuelewa kwenye nyimbo yake "NDEGE" alikua na maana nyingine au ndo alizungumzia ndege kama maudhui ya nyimbo
Nadhani lakini ma Ma mcee wa freestyle sometimes wawe wanapita kwenye beat hata zile ngumu kumeza maana beat zilizo zoeleka wanazionea kinomaAhaaa.. Labda hivyo. Lakini huenda tu hawajataka.
Nimeisikiliza hii ngoma. Nikakumbuka kuna mahali mtu aliwahi kuuliza "Vipi kama mimea ndo inakula wanyama?"Hahaha the same attitude
Mi mwenyewe naiskizaga naishia kutabasamu tu ila nacho mkiona ni kwamba jamaa alitaka watu wajifunze kufikiria upande wapili wa sarafu
Unaweza ukawa unapiga mihayo, lakini kiziwi anayekutazama akahisi tu unapiga kelele.../
Hiyo verse ndo ilinitoa kwenye reli kidogo nkashindwa jiuliza huyu jamaa anazungumzia ndege au ana maana yakeHahaha the same attitude
Mi mwenyewe naiskizaga naishia kutabasamu tu ila nacho mkiona ni kwamba jamaa alitaka watu wajifunze kufikiria upande wapili wa sarafu
Unaweza ukawa unapiga mihayo, lakini kiziwi anayekutazama akahisi tu unapiga kelele.../
Moja ya uzi wa jf sio?Nimeisikiliza hii ngoma. Nikakumbuka kuna mahali mtu aliwahi kuuliza "Vipi kama mimea ndo inakula wanyama?"
Kama Still ya Dr. Dre na Snoop DoggyNadhani lakini ma Ma mcee wa freestyle sometimes wawe wanapita kwenye beat hata zile ngumu kumeza maana beat zilizo zoeleka wanazionea kinoma