P-SQUARE SAGA: PETER OKOYE AFUNGUKA KILA KITU — FEDHA, JUDE, PAUL, EFCC, NYUMBA, NA MIGOGORO YA FAMILIA

P-SQUARE SAGA: PETER OKOYE AFUNGUKA KILA KITU — FEDHA, JUDE, PAUL, EFCC, NYUMBA, NA MIGOGORO YA FAMILIA

Usiombe hii kitu🙌😀😀😀ila Paulo namkubali yeye mzee wa kimya kimya ,na kuimba anajua jamaa!!mimi napenda mziki wa Paulo ,ile Blessed and Alive,reason with me mpk kesho naikubali...Masha Allah
Kwani Peter ndo yule wakuchezacheza sana au yule mwenye virastarasta kipindi kile. Nashindwaga kuwajua mimi.
 
Naunga mkono HOJA ,hakuna wa kulipiku hilo KUNDI.

Beautiful Onyinye ,Temptation hatari sana aiseee.
Akon aliwasainisha kwenye label yake ya Convict Music group wakawa ni moja kati ya wasanii wanaoingiza hela nyingi zaidi Africa waliwazidi hadi baadhubya wasanii wa Marekani kwa wakati huo,tena wale wakubwa kabisa
 
Mwisho wa siku Peter aimbe mziki mzuri watu tutamsapoti wala asijali binafsi nawapenda wote na mziki wao,drama zao za familia hazinihusu maana hata kwetu zipo
Hao mashabiki watajishaua wiki mbili hizi out if empathy kusabskraibu na kuingia sijui yutubu na kungine baada ya mwezi wanasahau,leo kaanzisha hilo la kifamilia,kapata huruma ya mashabiki,kesho sijui atakuja na lipi tena,baadae watu watarudi kwenye mziki mzuri ambao anao Paulo,YEYE kaka Peter atakua kama msanii fulani bongo hapa alikua anajilalamisha weee..mwenzie mbaya sijui nini,tafrani. Zote,mwisho wa siku wakatoa singo siku moja,watu wakaleta utimu msanii fulani akaonewa huruma akapata viewers IM within a day mwenzie akachelewa lakini baada ya wiki 2 ,yule mwenziwe akarudi kweny nafasi yake,ndo haya sasa ,wanadamu tunapenda mtu akijitilisha huruma...
Peter na Paul kimziki,Peter ndo anamhitaji Paulo saanaa!ukweli mchungu mashabiki wa Peter hawataki uskia...Paulo ni full package
Huyo kaka yao sijui nani hayanihusu watajua wenyewe!
Wanasema mwanzo kabisa kabla hawajaunda kundi walikuwa wanashiriki mashindano ya shule lakini alikuwa Paul na mwenzao mwingine,peter walimshawishi baadae ajiunge na eamfundishe kuimba so Paul ni kipaji cha asili wakati Peter ni kipaji cha kujifunza..Hata leo hii Paul na Jude wamekuwa wanasisitiza Peter ameshiriki kwenye composition ya kazi zao kwa asilimia chini ya kumi tu kazi zote alikuwa anafanya Paul,kipaji alichojaaliwa peter ni cha kucheza
 
Nakubali kabisaa....!!sibishi!Aloohj
Paulo anaimba bwanaa!!!🙌🙌🙌yaani ana sauti Masha Allaah na yule mwingine kucheza anajua hasaaa
Washabiki wanapiga kelele mtandaoni tu ila ni ngumu sanaa,kusikiliza mziki mbovu🙈🏃🏃😀!!!
Walivotengana wa kwanza kufungua akaunti insta na facebook na kutoa nyimbo ni Peter ila rude boy alivoanza kutoa nyimbo alooh...!!!utampenda tu!!kama daimond yaani!!!ana vibe flani hivi tukiacha unafiki pembeni!!
Rude is talented singer ,inborn hasaa!!!
Mimi napenda nyimbo zake yaani nikiona katoa nimo,yule mwingine honestly simuelewi nampenda hasa ila kwenye mziki a big no
 
Kwani Peter ndo yule wakuchezacheza sana au yule mwenye virastarasta kipindi kile. Nashindwaga kuwajua mimi.
Ndio yule densa afu marasta Paulo
Kwenye harusi jana ameend Pita watu wanamuita Paulo,wengi wanawafananisha hata mimi kwa kweli siwajui nawajua kwa rasta tuu
 
Back
Top Bottom