ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Simba hafungiki si ndio?Kati ya Mamelod au Wydad ndio timu nyepesi,, Mamelod anafunga na kufungwa pia kiufupi anabeki mbovu I think ana cleansheet 1 au 2 tu..
Wydad yeye anasafu butu ya ushambuliaji,,,hivyo ukijikaza ukampiga 2 hapa ukienda kwao suluhu ipo
Hayo maneno umenilisha,sijayasema nitake radhi tafadhaliiSimba hafungiki si ndio?
Mamelodi Sundowns apewe kombe lake mapema
Mimi natamani waletwe Mamelodi maana jezi yake ni rahisi kuioata hata Kariakoo halafu nzuri sana ,maana jezi ya Raja nilipata tabu sana kuipata mpaka nikaamua nichukue jezi ya Morocco tu.
Hawezi kupangwa na simba hao Js kabliye, wote wapo nafasi ya pili kwenye makundi yaoJS kabliye hawa tunawawezaa, watupangie hawa tuende semi final.
Acha uwoga. Si mlisema Mamelodi mnammudu? Mbona mnaanza visingizio mapema hivi?Natabiri kuna figisu (fitina) zitafanyika ili weusi wafike nusu fainali ambazo ni wakutane wenyewe kwa wenyewe!!!!!!
Waarabu wataingiza timu tatu nusu fainali na weusi timu moja!!!!!!
Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!
Ila hiki kichwa hiki😂Muwasho ukizidi mkamuone daktari
Ni kwelii aseeeh,Hawezi kupangwa na simba hao Js kabliye, wote wapo nafasi ya pili kwenye makundi yao
Tu Lilu liluuuu... Liluuuu lililiiii 😂Kau kwepa kwepa kaukalia mwenyewe [emoji445][emoji445][emoji444]
Tutawakodishia eneo jangwani karibu na kituo kikuu cha mwendo kasi😀Kichapo kipo pale pale hamna namna , cha msingi ni kuangalia mahali pa matanga
Wataanza kulialia hawana viwango vinavyolingana,ili wakifungwa tuone kawaida 😀Kuna uzi walianziasha wanamtaka Mamelodi na mimi nasema wapewe
Kwahiyo unasema tuandae maziko ya mnyama sio, 🤔Mamelodi Sundowns apewe kombe lake mapema
Hamna wakifika mtoano wanapoteanaMamelodi Sundowns apewe kombe lake mapema
Umesema Mamelodi ana beki mbovu una mulinganisha na nani?Hayo maneno umenilisha,sijayasema nitake radhi tafadhalii
Wote ni waafrica acha wogaNatabiri kuna figisu (fitina) zitafanyika ili weusi wafike nusu fainali ambazo ni wakutane wenyewe kwa wenyewe!!!!!!
Waarabu wataingiza timu tatu nusu fainali na weusi timu moja!!!!!!
Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!