Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

Kila kocha akileta mafanikio klabuni hujazwa majungu na kutimuliwa. Vandalec Sven kaipeleka SSC mbali sana lakini hatimaye katimka. Huyu Pablo ni bonge la kocha ila mashabiki wa SSC wanataka kilimo cha nazi kiwe kama cha mahindi. Kocha aje leo na kuleta maajabu hii haiwezekani. SSC mtaishia kubeba kombe la mbuzi tuu kwa mwendo huu. Pablo alikuleteeni neema sana ila hamtaki wenyewe kwa sababu ya kufungwa na YANGA!
 
Kama kawaida yetu wabongo wanaanza kuvaa viatu, then ndio wanavaa soksi.

Watamwondoa Pablo, then watawaondoa wachezaji na usajili wa wachezaji utasimamiwa na viongozi, baada ya kumaliza kusajili ndipo watakapo msajili kocha mwengine na kumpa malengo ya timu,kupitia wachezaji walio wasajili wao viongozi na kesho watamlaumu kwa matokeo mabovu kipitia wachezaji walio wasajilo wao.
kumfukuza Pablo nisawasawa na kufukuza polisi walindao bank wakati magari ya mishahala yanapaki pesa.
 
Back
Top Bottom