Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

nabi kuanzia Sudan simba walimtaka ila alikuwa hajamaliza mkataba wake ,ile anamaliza simba wameshamchukua Gomes ,ndo maana Nabi alipofika Dar anahojiwa nawaandishi anasema Simba is the best club ,akaanza kukumbushwa upo Yanga. Hata hizi holidays alizokuwa anaenda wanasema anakwepa kurenew kwa sababu kuna ishu ya chini chini na Simba.
Kwanini simba kila kitu amtegemee Yanga?Scouts simba wanafeli vibaya sana.
 


Klabu ya Simba imetangaza kuvunja mkataba na Kocha Mkuu, Pablo Franco Martin pamoja na Kocha wa Viungo, Daniel De Castro Reyes baada ya makubaliano ya pande zote mbili.

Baada ya maamuzi hayo, Timu ya Simba ambayo haijawa na msimu mzuri itakuwa chini ya Kocha Msaidizi, Selemani Matola.
Yaani huyu mchawi ndio anaachiwa timu
 
Huyu ndugu zake wakae naye wampe ushauri nasaha, ana sonona kukosa uwaziri kinachofuata atatoa kafara mtoto mwingine
 
Mo kamuhonga timu hawara yake sasa anafukuza tu watu bila sababu za msingi, alianza mwenyekiti akaja Senzo, mara Manara now kocha anaondoka.
 
[emoji28]
IMG_20220601_131203.jpg
 
Huko Madrid wameumia sana kufukuzwa kwa kocha mwenye cv kubwa nchini kwao.
 
Mo kamuhonga timu hawara yake sasa anafukuza tu watu bila sababu za msingi, alianza mwenyekiti akaja Senzo, mara Manara now kocha anaondoka.
Kwani cha ajabu nini hapo mkuu? Mbona sisi tulimtimua yule kocha aliyetuita Manyani?
 
Nimeanza safari ya mpira toka nipo kinda, kipindi hicho Hata shule sijaanza, kipindi tunacheza mipira ya makaratasi barabara I au uwanja wa nyumbani (uwani), ni katika kipindi kicho ndo nikajizoeza kupiga miguu yote.
Nilipoanza shule nikaendelea kukiwasha, zile match za madarasa vs madarasa (let's say for example: std iii vs std iv )au mikondo vs mikondo (A vs B) nilikuwa nakiwasha balaa. Kumbuka hapo napiga peku peku.

Kuanzia darasa la 5 hadi darasa la 6 mimi ndo nikawa mlinzi namba 4 tegemeo wa shule. Kamwili kadogo,ila wepesi, speed, akili na passion vilinifanya nikawa beck ninaewadhibiti washambuliaji wakali. Tackling, acrobatics,kutibua mipango, vilinifanya kuwa maarufu sana
pale shuleni na kijiji kizima. Ni katika kipindi hicho 2005-2006+ ndiyo nilianza kufanya mazoezi na wakubwa kwenye timu ya kijiji.

Match ya kwanza kupangwa kwenye timu ya wakubwa ilikuwa 2006, nipo darasa la 6 hapo, nilipangwa beki 2, niliboronga sijui woga!!! Nikatolewa.

Kuanzia mwaka 2007 nikiwa darasa la 7, mimi na mwili wangu mdogo,ndiye niliekuwa full back tegemezi wa shule na kijiji.

Kuanzia 2008-2010(form 1-3) mimi ndiye niliekuwa mlinzi tegemezi wa darasa, wa shule (sekondari) na timu ya kijijini (walikuwa wananifata kila kukiwa na match.

Kuanzia mwaka 2010-2011 (form 3-4) mimi ndiye niliekuwa mlinzi tegemeo wa darasa, shule, timu ya kijiji na timu ya kijiji cha pale shule ilipokuwepo.

Nilianza kuacha mpira 2012 baada ya kwenda advance.


SAMAHANI MKUU KWA KUKUPA JIBU REFU SANA. NIMEJIKUTA NAWAZA MBAAAALI SANA!! ENZI ZANGU, KAMA HENOCK INONGA MTUPU!! ka mwili kadogoooo ila ninaowazuia watu wanabaki wanasema natumia madawa kumbeee chini ya kapetii......siri ya mchezo ni NILIKUWA NAFANYA MAZOEZI SANAAAAAAAAA
Nimekuuliza swali dogo sana, ila maelezo mengi na sijaona jibu lake
 
Back
Top Bottom