Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

Kama kawaida yetu wabongo wanaanza kuvaa viatu, then ndio wanavaa soksi.

Watamwondoa Pablo, then watawaondoa wachezaji na usajili wa wachezaji utasimamiwa na viongozi, baada ya kumaliza kusajili ndipo watakapo msajili kocha mwengine na kumpa malengo ya timu,kupitia wachezaji walio wasajili wao viongozi na kesho watamlaumu kwa matokeo mabovu kipitia wachezaji walio wasajilo wao.
mpra wa sasa kazi ya kocha kufundisha mpra na mbinu zake na kuwajua wapinzani, kazi ya kusajili ina watu wake pia ,ila uzur ukiwa na kocha mwenye maono anajua kumpoint mchazaji mzur ukiwa na manegement nzur na skaut wanaojua mpra ata kama hauna kocha unasajil vzur kocha anafundisha mpra mchezaji mzur ambae anajua mpra na anajua kaz yake mpra anafundishika na kocha yoyote yule
 
Tatizo la mpira wa nchi hii sio makocha hata muwalete wa madrid na wa liverpool, wasaidiane , hamtoboi, kocha inakuwaje asihusike kwenye usajiri?kweli kwa wenzetu hao, ni wa kudanganya cv zao?kitu ambacho ni kugumu, kwani cv ya kocha sio kama ya mlinzi
Wewe hawa wanadanganyaga na miafrica tulivyi wajinga ikishakuwaga ngozi nyeuoe hatufanyagi upekuzi wakutosha
 
Tatizo sio kocha
Tatizo ni mwekezaji mudi kauza wachezaji na kununua mabasi kana kwamba ndo yanacheza..
Katuletea takataka kibudenga denis,sakho sambusa,sijui maria roza halafu alaumiwe zungu la real Madrid...!

Mudi afukuzwe huyu vinginevyo wanasimba tutashuhudia yanga wakibeba kombe mpaka 2070..

Simba tunaendesha mambo ki old school zama za ujima na ushamba
 
Mwanasiasa mzalendo Dr Kigwangalla alilamikia Uwekezaji na uendeshaji wa klabu yake pendwa Simba SC aka Makolo

Hoja zake zimeanza kufanyiwa Kazi kimya kimya
Wewe kama ni mpambe wa Kigwangalla endelea kumpamba.

Suala la kocha SSC lilikuwa halikwepeki na lilikuwa wazi kwa wale tunaoifuatilia timu yetu Pendwa.

Kigwangalla anaendeleza Bifu la kunyimwa mkopo wa PIKIPIKI na DEWJI.

Wala na hili halina Ubishi maana Tanzania nzima ilijua wakati ule wa Kampeni.
 
Hiyo style unayo izungumzia labda kwetu huku,ila ulaya kule wapo maskauti, ila mtu wa mwisho kudecide ni kocha baada ya kumwona mchezaji na kujirizisha kama ana fit na mfumo wake so kazi ya kusajili inategemea mapendekezo ya kocha na ndio maana ulaya sasa hivi utakuta kocha anapendekeza nafasi zenye mapungufu na wachezaji anao wataka.
mpra wa sasa kazi ya kocha kufundisha mpra na mbinu zake na kuwajua wapinzani, kazi ya kusajili ina watu wake pia ,ila uzur ukiwa na kocha mwenye maono anajua kumpoint mchazaji mzur ukiwa na manegement nzur na skaut wanaojua mpra ata kama hauna kocha unasajil vzur kocha anafundisha mpra mchezaji mzur ambae anajua mpra na anajua kaz yake mpra anafundishika na kocha yoyote yule
 
Kwa ujnga na siasa za viongoz wa simba sioni jipya ,, kaz kufukuza kocha mkuu tu msaidiz anabak apo apo hao waliofanya kocha afukuzwe wanabak ,mzamiru boko sacko mugalu mhilu lwanga ,walitaka wachukue kombe gan zaid la mapinduz
 
Kamati ya Usajili yatakiwa iondolewe maana wamehusika kwa sehemu kubwa na huu upuuzi

Wasimuache Matola, huyu ndiye Nyoka kwenye Timu
Menejimenti ya Timu ya Simba imesema wakati Pablo anafungasha virago, Timu itakuwa chini ya Kocha Seleman Matola. Hivyo, wito wako umechelewa Mkuu!
 
Huu sasa ni utani! Juzi tu alipewa kazi kutokana na CV yake kuwa kubwa na iliyo shiba! Kocha aliyefundisha Real Madrid na Getafe! Halafu leo anafurushwa!
Ila ningekuwa mimi ndio Mwajiri ningemwacha Kocha Pablo aendelee na kazi. Ningempa kazi ya kutafuta wachezaji wa kufit kwenye mfumo wake. Mnyonge mnyongeni Jamaa ni bonge la Kocha ila anaangushwa na Wachezaji wenye umri mkubwa na wasiojituma! Ikiwezekana Azam FC wamchukue huyu Bwana maana yule Kocha wao mmh, ni msimamizi wa mazoezi.
 
Kama kawaida yetu wabongo wanaanza kuvaa viatu, then ndio wanavaa soksi.

Watamwondoa Pablo, then watawaondoa wachezaji na usajili wa wachezaji utasimamiwa na viongozi, baada ya kumaliza kusajili ndipo watakapo msajili kocha mwengine na kumpa malengo ya timu,kupitia wachezaji walio wasajili wao viongozi na kesho watamlaumu kwa matokeo mabovu kipitia wachezaji walio wasajilo wao.
Hii inaitwa "Learning from Complex to Simple"
 
aka Makolo
200 (22).gif
 
Back
Top Bottom