Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

Kumchinja kobe inahitaji timing, hapa simba tumefanya timing nzur sana kocha anayekuja atapata muda mzur wa kufanya usajili wake sasa next season moto utawaka
Kocha mpya wa Simba atakuja baada ya viongozi kumaliza kufanya usajili, halafu kesho lawama wanampa kocha.

Bongo kila kitu tunafanya vice versa.
 
Huyo kocha aliletwa na nan hiyo bodi yote ingetakiwa kuvunjwa kwa uchafu uliojitokeza CEO nae sjui anabaki kufanya nn uwajibikaji ni kitu kizur Sana kamati ya usajili yote timua sawa tunajua walikuwa na mazur yao misimu iliyopita ila haizuii kuwajibika kwao kwa msimu huu
 
Inawezekana ni tetesi za kweli, maana kwenye mechi zote za Simba (za kwa Mkapa) anakuwepo uwanjani, anaangalia sehemu ya kufanyia marekebisho.
yeah inawezekana mkuu
 
Pablo amefanywa tu mbuzi wa kafara tu. Pamoja na madhaifu madogo madogo ya Pablo lakini wakwanza kufukuzwa walipaswa wale waliofanya usajili wa hovyo msimu uliopita. Na hawa wanaomtimua Pablo leo na kusifiwa ndio hao hao waliomtimua kocha wa viungo kiasi sasa Simba imekuwa na majeruhi wengi na timu haina "fitness" kabisa uwanjani.

Kwa hiyo angalizo langu kwa bodi ya Simba na uongozi kwa ujumla pamoja na maamuzi ya kumtimua Pablo iwapo hatamfanya usajili wa maana na kutafuta kocha wa viungo mwenye hadhi ya kufundisha Simba basi hata maamuzi yenu ya leo hayatakuwa na tija. Pia jengeni timu imara kwa kufanya usajili wa kiufundi na msiingie kwenye usajili kwa mihemuko.

Na Mo amesema mtafanya maamuzi magumu hilo ni jambo zuri. Lakini niwakumbushe tu maamuzi magumu ni pamoja na kuwaacha wale wachezaji ambao hawana msaada kwa timu hata kama wana vipaji vya hali ya juu kiasi gani na bila kujali hata kama wataenda kusajiliwa na wapinzani wenu.
 
Kuna mtu mwaka juzi nilimwambia "Simba itatisha misimu 4, unaofata (msimu wa 5) itayumba sana. Lakini msimu utakaofata (msimu ujao) itakuwa tishio kubwa"

Sehemu 1 ya utabiri wangu umeshatimia, tusubiri msimu ujao tuone. Na bado naamini msimu ujao simba itakuwa bora sana kushinda ilivyokuwa msimu jana.

Huyo jamaa niliemwambia hayo yupo dar m/nyamala anauza duka la reja reja

Sawa MTABARI TAMBI TAMBI
MSISI WA MSISIRI
 
Simba na yanga zinatuharibia mpira wa tz,
Ingawa zinachangamsha ila hakuna maendeleo,
Na kama yapo ni ya kurudi nyuma
 
Mwanasiasa mzalendo Dr Kigwangalla alilamikia Uwekezaji na uendeshaji wa klabu yake pendwa Simba SC aka Makolo

Hoja zake zimeanza kufanyiwa Kazi kimya kimya
 
Kimya kimya wapi
e9c53cc364e9459989ebe5dd7824c96c.jpg
 
Back
Top Bottom