Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

Japo ameikuta timu aliyooza ila aina ya upangaji wake wa kikosi unafikirisha.

VIONGOZI MUNASHUGHULIA MASUALA YA USAJILI NANYI PIA INABIDI MUJITATHMINI.

KILA LA KHERI PABLO.
 
Ilikuwa ni suala la muda tu, Kila la kheri huko aendako
 
makolo bana sometimes ua mnajifariji kipumbavu kabisa
 
Hahhahah.... Huyu si ndio yule mlisema alifundisha na Zidane?
 
Kwa mara kwanza kabisa naona simba hawakua sahihi kumfukuza kocha,,,,kosa walilifanya viongozi ktk kusajili kocha hakua na njia ya kupata ubingwa mbele ya yanga kwa iliyoimarika kwa kias fulan , wachezaji wale ,alafu sielew kwann anafukuzwa kocha mkuu wasaidiz wanabak kocha wa tatu uyu kama sio wa nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…