Pablo Escobar alisema , kama hautofanya biashara na state au mamlaka , kamwe sahau humiliki pesa nyingi

gwanseri

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
632
Reaction score
1,831
Pablo,

Kwenye maongongezi yake na mwandishi wa uingereza alipata kusema kama hautofanya tenda haramu au halali na serikali au mamlaka utajiri utausikia kwenye taarifa na zaidi utapata pesa ya Kula Tu,.

Akizungumzia deals kama silaha haramu, yaani kuna viwanda vina copy ya silaha halali hivo hutengeneza na k kuwauzia waasi sehemu mbalimbali duniani, kusafirisha madawa ya kulevya bila bugudha, kushirikiana na mashirika makubwa ya kipelelezi duniani ambayo hufanya biashara haramu nje ya bajeti za nchi zao, nitaendelea taratibu hii story ikoje,
 
Pablo,
Kwenye maongongezi yake na mwandishi wa uingereza alipata kusema kama hautofanya tenda haramu au halali na serikali au mamlaka utajiri utausikia kwenye taarifa na zaidi utapata pesa ya Kula Tu,.
Akizungumzia deals kama silaha haramu, yaani kuna viwanda vina copy ya silaha halali hivo hutengeneza na k kuwauzia waasi sehemu mbalimbali duniani, kusafirisha madawa ya kulevya bila bugudha, kushirikiana na .mashirika makubwa ya kipelelezi duniani ambayo hufanya biashara haramu nje ya bajeti za nchi zao, nitaendelea taratibu hii story ikoje,
nenda kacopy Ai utuletee yote
 
Unajifariji kijana au na wewe ndio wale Yericko Nyerere ujasusi wa CHAUMA kuhusu kulima bamia kigamboni na kugoogle ukatengeneza kitabu.

Chauma watalajie ubwabwa umepata mboga ya kukandamizia bamia za kigamboni.
 
Ndio mifano rahisi M 23 wanatela maeneo yenye dhahabu tupu , sasa anatomea mtu kama lugumi anafahamu viwanda vya silaha Israel , anapata tenda mizigo inaongizwa kupitia Mombasa au msumbiji, m23 wanapokea silaha na zana za uchimbaji, biashara zinafanyika , wapiga makofi huko mnaendelea kushangilia hata msiyoyajua kisa tishet na kanha
 
Ivo vitu mpk vinafikia ivo inabid wwvmwenyewvuwe vzur kila sekta sio rahis ivo ka unaona rahis hebu jaribu na ww ka utaweza tuko kwenye system tunajua izo mbishe kweli zipo ila n wachache sana ambao hao wanaweza ingia hata ikulu
 
Kwa mfano marekani anapinga vikwazo Iran, wanajitokeza matajiri wanapewa magendo ya gesi na mafuta kusambaza east and Central Africa , ,wewe unaona malori ya mafuta yanapeleka mafuta Congo, Rwanda, Burundi, hata haujui inakuaje mara gesi Fulani majjumbani upo Tu na Kadi yako ya chama Sahau utajiri
 
Wakati akisema hayo internet ilikuwapo, kulikuwa na online shopping, kulikuwa na uwinga,kulikuwa na forex,mwambie huyo Escobar wako atulize wenge.
 
Ivo vitu mpk vinafikia ivo inabid wwvmwenyewvuwe vzur kila sekta sio rahis ivo ka unaona rahis hebu jaribu na ww ka utaweza tuko kwenye system tunajua izo mbishe kweli zipo ila n wachache sana ambao hao wanaweza ingia hata ikulu
Tena ukiwa mtu wa system ni rahisi mno.mchawi Chess na Draft
 
Back
Top Bottom