Pablo Escobar alisema , kama hautofanya biashara na state au mamlaka , kamwe sahau humiliki pesa nyingi

Pablo Escobar alisema , kama hautofanya biashara na state au mamlaka , kamwe sahau humiliki pesa nyingi

Tatizo mnachanganya mambo, Pablo hakuwa mfanyabiashara alikuwa ni Muuaji na mlanguzi wa madawa ya kulevya.

Kashalipua majengo na ndege ya abiria
 
Tatizo mnachanganya mambo, Pablo hakuwa mfanyabiashara alikuwa ni Muuaji na mlanguzi wa madawa ya kulevya.

Kashalipua ghorofa na ndege ya abiria
Yulia mkuu dunia unayoifahamu ni tofauti na uhalisia
 
Ata kwenye forex na btc waliopiga pesa ndefu walitumia njia illegal, ila wengi walidakwa na fbi
 
Uza nyanya, mahindi, maharage, viatu, nguo, upate pesa ya Kula na familia mikia mirefu hutogusa kamwe hapa duniani
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Hivi mliwahi kusikia wale wa PIE wamehukumiwa wapi duniani hapa?
 
Ivo vitu mpk vinafikia ivo inabid wwvmwenyewvuwe vzur kila sekta sio rahis ivo ka unaona rahis hebu jaribu na ww ka utaweza tuko kwenye system tunajua izo mbishe kweli zipo ila n wachache sana ambao hao wanaweza ingia hata ikulu
kwahiyo kwa mwandiko wako huu, na wewe upo kwenye mfumo wa ....
 
Pablo,

Kwenye maongongezi yake na mwandishi wa uingereza alipata kusema kama hautofanya tenda haramu au halali na serikali au mamlaka utajiri utausikia kwenye taarifa na zaidi utapata pesa ya Kula Tu,.

Akizungumzia deals kama silaha haramu, yaani kuna viwanda vina copy ya silaha halali hivo hutengeneza na k kuwauzia waasi sehemu mbalimbali duniani, kusafirisha madawa ya kulevya bila bugudha, kushirikiana na mashirika makubwa ya kipelelezi duniani ambayo hufanya biashara haramu nje ya bajeti za nchi zao, nitaendelea taratibu hii story ikoje,
Yuko sawa ila sio lazima sana iwe biashara haramu lakini tenda yeyote ya serikali inakufanya kuwa Tajiri.
 
Msomali
Mbona ushanijibu mkuu
Wewe unafahamu nilichoandika na kamwe sitobishana na wewe na unafahamu kua hata hizi coin ni mpango maalumu wa mashirika ya kipepelezi duniani ndio maana nakuacha Tu , akili yako kubwa naiheshimu
 
Jamaa alikuwa nguli kweli kweli wa madawa na alikuwa anatumia pesa zake kuisaidia jamii iliyomzunguka, ila mwishoni hao wenye mamlaka ndo walimmaliza
 
Vijana vijana vijana.....haraka ya nini

Don't play dangerous game unless you are willing to die/loose
 
Yuko sahihi kabisa 💯💯

Yaani huko ndio Kuna Hela maana Kila mchongo utakao pewa lazima wenye serikali Yao watataka mpige pamoja na wao wapate kunufaika so lazima watakupa ulinzi na backup ya kutosha

Kuna miaka Fulani nilipokuwa mdogo tulikuwa tuna ambiwa kuwa abood ma-bus aliyonayo mengine sio yake ni ya mke wa Raisi mwinyi alhassan alikuwa anaitwa sitti if I'm not mistaken

So you can see yourself Abood walipo hii Leo
 
Back
Top Bottom