Pablo Escobar alisema , kama hautofanya biashara na state au mamlaka , kamwe sahau humiliki pesa nyingi

Alilipua ndege gani?
Pablo aliwahi kufanya hili tukio siku ya tarehe 27 Novemba 1989 na ndege hii ilikuwa ni ya abiria ya kampuni ya Avianca Airlines (Flight 203) ambapo siku hii ya tukio ilikuwa inaruka kutoka mji wa Bogota kuelekea mji wa Cali.
 
Hivi wamiliki WA mabomba ya kuvhepusha mafuta bandarini walikamatwa? Na TV zote zilitangaza,
 
Hivi dunia hii ushaona watuhumiwa wa kagoda au Richmond wamekamatwa?
 
Pablo aliwahi kufanya hili tukio siku ya tarehe 27 Novemba 1989 na ndege hii ilikuwa ni ya abiria ya kampuni ya Avianca Airlines (Flight 203) ambapo siku hii ya tukio ilikuwa inaruka kutoka mji wa Bogota kuelekea mji wa Cali.
Weeeh???; 😕.. jamaa alivuka mstari mwekundu
 
Story ya huyu Jamaa ilisimuliwa na Jamaal April kwenye The Storybook, sasa acha niende Nikaisikilize tena...
 
Mkuu tuendelee kuuza maharage na mahindi Tu lakini dunia iko mbali Sana , kesi zote za ufisadi na uhujumu uchumk unezisikia tena zikotajwa popote?
 
Back
Top Bottom