nenda kacopy Ai utuletee yotePablo,
Kwenye maongongezi yake na mwandishi wa uingereza alipata kusema kama hautofanya tenda haramu au halali na serikali au mamlaka utajiri utausikia kwenye taarifa na zaidi utapata pesa ya Kula Tu,.
Akizungumzia deals kama silaha haramu, yaani kuna viwanda vina copy ya silaha halali hivo hutengeneza na k kuwauzia waasi sehemu mbalimbali duniani, kusafirisha madawa ya kulevya bila bugudha, kushirikiana na .mashirika makubwa ya kipelelezi duniani ambayo hufanya biashara haramu nje ya bajeti za nchi zao, nitaendelea taratibu hii story ikoje,
Nitawaletea taratibuInavutia sana hii story ila msimuliaji upo haraka sana
Unajifariji kijana au na wewe ndio wale Yericko Nyerere ujasusi wa CHAUMA kuhusu kulima bamia kigamboni na kugoogle ukatengeneza kitabu.Pablo,
Kwenye maongongezi yake na mwandishi wa uingereza alipata kusema kama hautofanya tenda haramu au halali na serikali au mamlaka utajiri utausikia kwenye taarifa na zaidi utapata pesa ya Kula Tu,.
Akizungumzia deals kama silaha haramu, yaani kuna viwanda vina copy ya silaha halali hivo hutengeneza na k kuwauzia waasi sehemu mbalimbali duniani, kusafirisha madawa ya kulevya bila bugudha, kushirikiana na .mashirika makubwa ya kipelelezi duniani ambayo hufanya biashara haramu nje ya bajeti za nchi zao, nitaendelea taratibu hii story ikoje,
Hakuna pesa ndefu inakuja kihalali haipoHehe! Na kuna yule prince sijui wa huko ufaransa alisema "Big money never comes clean!".
Kunawatu ndio wamejua leo kupitia huu uzi.anyway.Hakuna pesa ndefu inakuja kihalali haipo
Hivi pesa ndefu hua ni ya kufanyia nini?Hakuna pesa ndefu inakuja kihalali haipo
Tena ukiwa mtu wa system ni rahisi mno.mchawi Chess na DraftIvo vitu mpk vinafikia ivo inabid wwvmwenyewvuwe vzur kila sekta sio rahis ivo ka unaona rahis hebu jaribu na ww ka utaweza tuko kwenye system tunajua izo mbishe kweli zipo ila n wachache sana ambao hao wanaweza ingia hata ikulu
Wewe hauko kwenye mifumo hiyo endelea kukimbizana na TRAWakati akisema hayo internet ilikuwapo, kulikuwa na online shopping, kulikuwa na uwinga,kulikuwa na forex,mwambie huyo Escobar wako atulize wenge.