Na kuna mwingine alisema "in every great fortune, there's crime behind it"BalzacHehe! Na kuna yule prince sijui wa huko ufaransa alisema "Big money never comes clean!".
Alilipua ndege gani?Tatizo mnachanganya mambo, Pablo hakuwa mfanyabiashara alikuwa ni Muuaji na mlanguzi wa madawa ya kulevya.
Kashalipua majengo na ndege ya abiria
Pablo aliwahi kufanya hili tukio siku ya tarehe 27 Novemba 1989 na ndege hii ilikuwa ni ya abiria ya kampuni ya Avianca Airlines (Flight 203) ambapo siku hii ya tukio ilikuwa inaruka kutoka mji wa Bogota kuelekea mji wa Cali.Alilipua ndege gani?
Na hautasikia tena hii HabariHivi wamiliki WA mabomba ya kuvhepusha mafuta bandarini walikamatwa? Na TV zote zilitangaza,
Weeeh???; 😕.. jamaa alivuka mstari mwekunduPablo aliwahi kufanya hili tukio siku ya tarehe 27 Novemba 1989 na ndege hii ilikuwa ni ya abiria ya kampuni ya Avianca Airlines (Flight 203) ambapo siku hii ya tukio ilikuwa inaruka kutoka mji wa Bogota kuelekea mji wa Cali.
Mkuu tuendelee kuuza maharage na mahindi Tu lakini dunia iko mbali Sana , kesi zote za ufisadi na uhujumu uchumk unezisikia tena zikotajwa popote?Story ya huyu Jamaa ilisimuliwa na Jamaal April kwenye The Storybook, sasa acha niende Nikaisikilize tena...
Ndio dunia ilivoAiseeeeeeeeeee
Hahaaaa ndio dunia ilivoNa hautasikia tena hii Habari
Msaidie kukopy utuleteenenda kacopy Ai utuletee yote
Trillion kadhaaPesa nyingi unamaanisha shilingi ngapi?