Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kukosekana kwa hao wachezaji kunanipunguzia sana matumaini ya Yanga kufanyanya vizuri na ninaona kama Yanga wana bahati mbaya ingawa bado wanaweza kufanya vizuri kwa kikosi kilichotangazwa kuanza katika mechi ya leo.
Nimekumbuka ile fainali ya kombe la CAF ya mwaka jana ambapo Aucho tena alikosekana kutokana na kuwa na kadi 3 za njano.
Anyway, wacha tusubiri uzuri hamasa iko juu kuanzia kwa wachezaji mpaka mashabiki.