Paccome, Aucho na Yao kukosekana ni jambo la bahati mbaya sana

Paccome, Aucho na Yao kukosekana ni jambo la bahati mbaya sana

Mkuu
Tujifunze maana ya kikosi kipana

Yanga hatumtegemei mtu mmoja wengine watacheza ukiwa haupo

Kwanza hao sidhani hata wamepona vizuri
Mngekuwa hamsemi hawa hawapo mbona mnatoa sababu za kutokushinda kwa sababu hao hawapo? Kikosi ni hicho hicho hakuna upana wowote
 
Back
Top Bottom