Paco Decor amefariki

Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
Huu uzi wa shoga ushafuka page 23 ila uzi wa ujio wa Rais wa Vietnam haujafika hata page 4.... Kweli humu ndani kuna watu wanapenda ushoga
laity kungekua na alama ya watu hao na waliotembea nao nafikiri ungeikana familia yako pia
 
Aaahaaa kumbe! Wengine hatumtambui ni nani kwani?
 
Alikuwa anavaa hereni kwanini?
Mungu hakumleta duniani na sikio limetoboka ila yeye kalitoboa sijui siku hizi twapotelea wapi
Hii ni kwa wanaume tu au hata wanawake? Maana hata wanawake hawakuletwa duniani na masikio yakiwa na vitobo
 
Jamani sasa mmezidisha, hebu mpeni heshima yake yule baba, kwani amewakosea nini Mbona jamaa anaishi maisha yake atakavyo, kumbukeni ana binti mkubwa na ni baba wa mtu kwenda kumuita jina kama hilo ni kumkosea, hata kama ana kasoro zake za kibinadamu. Mumuache baba wa watu jamani si kwa matusi haya, ni BABA WA MTU YULE JAMANI.
wewe unafurahia anavyokuwadia mabebz wetu kwa kwakina mosha?
 
Mwanaume rijali hatoboi sikio..unless uwe hauna dini ndo utaona kila kitu ni sawa kwako...
Huna unalolijua wewe.. Fatilia tamaduni za watu sio unapuyanga puyanga tu..[emoji57]
 
Sijui amewakosea nini huyu mtu, Nadhani ana vitu ambavyo ametupita wengi wetu ndo mana mnajenga chuki kufikia kumpa matusi makubwa namna hii, mana kama issue ni hiyo kupenda kujisifu au kujiamini kupitiliza ni swala la kawaida sana, lakin nahisi watu wako serious sana kufanya chuki juu yake, kusema ukweli mie huyu kaka ana kasoro zake ila ana mazuri yake pia katika kuelimisha au kutoa muongozo kwa jamii yeye si malaika, ila si vyema kumvunjia heshima kiasi hichi.
alichotushinda sisi wengine ni ukuwadi uliotukuka Na kutelekeza familia, kushinda club Na watoto wadogo
 
Mbona kuna uzi mmoja jamaa alileta akieleza alivyo fiwa na ndugu zake kwa sababu ya ukimwi ,ukaishia kuleta kashfa zako ,vipi kwa hili pusti ndio unaleta busara za kipuuzi
mkuu amemtetea sababu anaitwa haroub nasser
 
Sioni sababu ya ku justify ujinga. Tunajua hereni zinazovaliwa sasa na hawa vijana masharo wa dar siyo zile za kimasai wala za mababu zetu bali mitindo iliyoigwa Marekani. Wavaaji wa hereni hata walioko Marekani siyo watu wanaoheshimika sana na mostly kimaadili ni questionable. Iweje sisi huku africa tuwaone watu wa kawaida? Ukweli utabakia kuwa uvaaji wa sasa wa hereni kwa wanaume unahusishwa na maadili machafu na hupati heshima popote labda kwa watu wenye silka kama yako.
Nimetokea kufundishwa na maprofesa wazungu watatu tofauti wanaovaa hereni. Na ni maprofesa bingwa katika fani zao na wanaoheshimika sana katika academics na jamii. Na wana familia zao. Uvaaji wa hereni hauchukuliwi hivyo kote ulaya na marekani. Hauko sahihi ndugu
 
Kuvaa hereni ni kujifananisha na Mwanamke
Kama wewe ni mwanaume halisi na unakubali kuwa ni mwanaume huwezi vaa hereni kamwe
Kuvaa nguo zakubana pia ni ukike kike

Huyu alitaka awe mwanamke
Unashusha heshima yako mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom