latifa957267
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 209
- 79
Mashoga maarufu wanaondoka wengi naona.....R.I.P
Teh!...wafe tu na moto unawasubili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashoga maarufu wanaondoka wengi naona.....R.I.P
Had wamasai wanakuwa na hivi vitendo lord have mercy aiseee hatareeeeeUkimwi unawapukutisha mashoga wote.
Kuna Lingine hapa Arusha maarufu kama Anti Mollel, Juzi kuamkia jana, nalo limepita hivi.
duh alifanyiwa huko Thailand ama????????
Amelaaniwa yeyote mwenye kufanya hivyo.Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.
Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?
Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.
Atakuwa alifanyiwa za vichochoroni zile cheap ndo zinazowasumbuaga wengiNadhani alifanyiwa marekani last December, maana alikaa muda.
labda alikutana Na mutulinga ikachokosa ini
Kwa picha hizo sina swali, maana nikiuliza ntaleta ugomvi na wenye fani zao. Na wala sina jibu maana ntakuwa namuhukumu.
Mungu amuweke panapostahili.
alikua shoga mwislam unazungumziaje hilo bibi mdini?Kila kifo ni mawaidha.
Alikuwepo duniani na sisi na leo hii ghafla bin vuu hayupo. Amali na matendo yake ndiyo yatakuwa na uzito leo hii. Jee, wewe uliyekuwa hai unafanya nini?
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo
Utamaduni mkuu. Unakumbuka jaji Mutungi Kenya?Nimetokea kufundishwa na maprofesa wazungu watatu tofauti wanaovaa hereni. Na ni maprofesa bingwa katika fani zao na wanaoheshimika sana katika academics na jamii. Na wana familia zao. Uvaaji wa hereni hauchukuliwi hivyo kote ulaya na marekani. Hauko sahihi ndugu
ha haha acha hizoKumbe ndio maana leo mjini kimya kumbe kafa Shoga?!
Yah namkumbuka. Walichemsha wenyewe kwa msimamo wake. Utamaduni si ndio huohuo wanautumia wamasai kuvaa hereni?Utamaduni mkuu. Unakumbuka jaji Mutungi Kenya?
Kisu kimechoma kwenye mfupaJamani sasa mmezidisha, hebu mpeni heshima yake yule baba, kwani amewakosea nini Mbona jamaa anaishi maisha yake atakavyo, kumbukeni ana binti mkubwa na ni baba wa mtu kwenda kumuita jina kama hilo ni kumkosea, hata kama ana kasoro zake za kibinadamu. Mumuache baba wa watu jamani si kwa matusi haya, ni BABA WA MTU YULE JAMANI.