Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
hahaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka hatariiiiiii hahaaaaaaaaaaaaa haaaaahahahaha uwii nimecheka kwa mayowe imebidi mates wangu hapa job wanishangae kya kya kyaaa
Asante kwa somo mkuu.Herry ni ufupisho wa Haroub
laity kungekua na alama ya watu hao na waliotembea nao nafikiri ungeikana familia yako piaHuu uzi wa shoga ushafuka page 23 ila uzi wa ujio wa Rais wa Vietnam haujafika hata page 4.... Kweli humu ndani kuna watu wanapenda ushoga
ndo inavyosemekanaduh kumbe alifanyiwa gastric bypass!
duh kumbe alifanyiwa gastric bypass!
Hii ni kwa wanaume tu au hata wanawake? Maana hata wanawake hawakuletwa duniani na masikio yakiwa na vitoboAlikuwa anavaa hereni kwanini?
Mungu hakumleta duniani na sikio limetoboka ila yeye kalitoboa sijui siku hizi twapotelea wapi
Issue siyo kupenda ushoga ,hapa issue ni kusema ukweli. Hizi ni enzi za mawazo na mtizamo mpana.Huu uzi wa shoga ushafuka page 23 ila uzi wa ujio wa Rais wa Vietnam haujafika hata page 4.... Kweli humu ndani kuna watu wanapenda ushoga
Is it that hard to loose weight ?duh kumbe alifanyiwa gastric bypass!
wewe unafurahia anavyokuwadia mabebz wetu kwa kwakina mosha?Jamani sasa mmezidisha, hebu mpeni heshima yake yule baba, kwani amewakosea nini Mbona jamaa anaishi maisha yake atakavyo, kumbukeni ana binti mkubwa na ni baba wa mtu kwenda kumuita jina kama hilo ni kumkosea, hata kama ana kasoro zake za kibinadamu. Mumuache baba wa watu jamani si kwa matusi haya, ni BABA WA MTU YULE JAMANI.
Huna unalolijua wewe.. Fatilia tamaduni za watu sio unapuyanga puyanga tu..[emoji57]Mwanaume rijali hatoboi sikio..unless uwe hauna dini ndo utaona kila kitu ni sawa kwako...
π π π πView attachment 328394 Huyu anaonyesha yeye ni mzoefu zaidi ya huyu marehem hebu chekini hapa linavyoweka mapozi duh hawa watu wanakuwa hawaoni haya na mambo ya kimombasa wanayofanya dah
Huyu jamaa ukiangalia picha zake hizi unabaki na maswali kichwani. Anaweza kuwa Mwanaume lkn mwenye hormones za kike zaidi kuliko za kiume. Au Anaweza kuwa na za kiume nyingi tu lakini shoga. Or both of them all together. Anyway alale pema peponi sote tutakwenda huko siku zikifika
alichotushinda sisi wengine ni ukuwadi uliotukuka Na kutelekeza familia, kushinda club Na watoto wadogoSijui amewakosea nini huyu mtu, Nadhani ana vitu ambavyo ametupita wengi wetu ndo mana mnajenga chuki kufikia kumpa matusi makubwa namna hii, mana kama issue ni hiyo kupenda kujisifu au kujiamini kupitiliza ni swala la kawaida sana, lakin nahisi watu wako serious sana kufanya chuki juu yake, kusema ukweli mie huyu kaka ana kasoro zake ila ana mazuri yake pia katika kuelimisha au kutoa muongozo kwa jamii yeye si malaika, ila si vyema kumvunjia heshima kiasi hichi.
mkuu amemtetea sababu anaitwa haroub nasserMbona kuna uzi mmoja jamaa alileta akieleza alivyo fiwa na ndugu zake kwa sababu ya ukimwi ,ukaishia kuleta kashfa zako ,vipi kwa hili pusti ndio unaleta busara za kipuuzi
Oh sikujua kwanini mkuu hapa anajifanya mtakatifu,hilo pusti si anaitwa sijui Herry ??mkuu amemtetea sababu anaitwa haroub nasser
Nimetokea kufundishwa na maprofesa wazungu watatu tofauti wanaovaa hereni. Na ni maprofesa bingwa katika fani zao na wanaoheshimika sana katika academics na jamii. Na wana familia zao. Uvaaji wa hereni hauchukuliwi hivyo kote ulaya na marekani. Hauko sahihi nduguSioni sababu ya ku justify ujinga. Tunajua hereni zinazovaliwa sasa na hawa vijana masharo wa dar siyo zile za kimasai wala za mababu zetu bali mitindo iliyoigwa Marekani. Wavaaji wa hereni hata walioko Marekani siyo watu wanaoheshimika sana na mostly kimaadili ni questionable. Iweje sisi huku africa tuwaone watu wa kawaida? Ukweli utabakia kuwa uvaaji wa sasa wa hereni kwa wanaume unahusishwa na maadili machafu na hupati heshima popote labda kwa watu wenye silka kama yako.
Unashusha heshima yako mkuuKuvaa hereni ni kujifananisha na Mwanamke
Kama wewe ni mwanaume halisi na unakubali kuwa ni mwanaume huwezi vaa hereni kamwe
Kuvaa nguo zakubana pia ni ukike kike
Huyu alitaka awe mwanamke