Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
Laana ya allah iwe juu lake kama kafa hali ya kuwa ni shoga
 
Amelaaniwa yeyote mwenye kufanya hivyo.
 
labda alikutana Na mutulinga ikachokosa ini



Inawezekana mkuu maana kama mwanamke anakimbia na chupi mkononi na ndio kazi yake sipate picha hiyo mibwabwa maana pipe inagusa mpaka maini
 
Kwa picha hizo sina swali, maana nikiuliza ntaleta ugomvi na wenye fani zao. Na wala sina jibu maana ntakuwa namuhukumu.
Mungu amuweke panapostahili.

Nimependa comment yko tuache wenye fani zao lkn kwa staili aliyokaa sijaielewa
 
Kila kifo ni mawaidha.

Alikuwepo duniani na sisi na leo hii ghafla bin vuu hayupo. Amali na matendo yake ndiyo yatakuwa na uzito leo hii. Jee, wewe uliyekuwa hai unafanya nini?

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
alikua shoga mwislam unazungumziaje hilo bibi mdini?
 
Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo



Sasa anapunguza utumbo halafu anakuja kupigwa msumbenje unategemea nini Mungu anisamehe tu kwa kweli alale kule kwenye majanga
 
pole mr Ommy kwa kumpoteza mke wako mpendwa Haroub
 
Utamaduni mkuu. Unakumbuka jaji Mutungi Kenya?
 
Kuna watu wanatokwa povu tu yeye kafa shoga kalaanika atachomwa moto (kama hakutubu) jee wewe? huna dhambi ni msafi?
Moto uleule si ajabu akawa pembeni yako siku ya siku
 
Kisu kimechoma kwenye mfupa
 
ifike kipindi tuache unafiki na kumung'unya maneno maana ndio unaotuponza nakuendelea kuharibu jamii yetu, swala la ushoga ni kinyume kabisa na baadili yetu yakiafrika na hata vitabu vitakatfu vinakataza na kusema wazi wazi kua wanaofanya hivyo vitendo hawatouona ufalme wa mungu sasa iweje sisi tumung'unye maneno, ushoga ni laana na niwatu wakutengwa na jamii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…