Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumia jina gani kule fb???kwenye wall yake ya fb inaonyesha 8 hours ago alikua thailand, mmh labda kuna kitu nyuma ya pazia, tutasikia mengi tu binamu
mmh kuna kitu binamu, tuwe wavumilivu, si unajua tena misiba huwa inafichua mambo mengi
hebu funguka umegundua nini lol, mie mmbea.Ila ndugu zangu vijana wanaharibika kwa kasi sana tuwe makini na watoto wetu hasa wa kiume jana na mimi nilipata kudukua dukua huko Instergram Nilichokiona ni siri yangu.
Hahahaha..kn vitu vingine muwe mnauliza vzr b4 kupost..hilo jina tu sio lake..NAPITA
Duh kweli kuna usiri maana kuna wengine wanadai walienda Aga Khan two days before his demise kumtembelea akawaomba wamsalie, sasa na hii ya Thailand tena khaa!!
si nasikia alifanya oparesheni ya kubana tumbo watu wanajua kumchokoza mungu sanajana alisafir kwenda thailand, baadae ikatangazwa kafa, hyo atakua kafa kifo cha aibu ndio maana wanaficha, sasa sijui kauliwa au vipi, ila jana march 8 alikua thailand binamu, huu ubuyu mtamu hatari, na kila ukiuliza watu sababu ya kifo chake hawakujibu
Na wewe ukiwepo.ok mkuu nimejifunza kitu kwako.. kumbe ally kiba nishoga, diamond ni shoga, mbunge wa mikumi professa j ni shoga aka choko, m.r blue ni shoga, davido ni shoga,tupac alikua shoga, baraka de prince ni shoga,dj ommy crazy ni shoga, jux ni shoga,juma nature ni shoga...hahah kweli tanzania tuna mashoga wengi tunahitaji maombi mazito
Innalilah wainailah rajiun sio dua yakumuombea marehemu, bali ni dua tunatakiwa kuitamka pindi unaposikia habari za msiba hii ina maannisha "Na kwake (Allah) tutarejea."Ni kweli..lakini mashoga hayana Inna Lillahi...na ndo mana yaliangamizwa enzi za Nabii Lut.
mie sio wa humu,so siwezi kusema nayo yajua juu ya muhusika..mambo vipi?nisubiri twende wote.......
Jina lake ni nani???????
Ha ha ha ha haah ah ah huo mstari wa mwisho umenimaliza.Sema huu uandishi wa mabloger uchwara huu, eti oh my god. Was he sick or what? Juzi tu nasikia alikuwa ICU Leo naambiwa he is dead!
Sasa kama uliambiwa yuko ICU halafu unashangaa kama kafa ghafla, we unafikiri ICU wanapiga disco Kule?
Mficha maradhi kifo humuumbua.jana alisafir kwenda thailand, baadae ikatangazwa kafa, hyo atakua kafa kifo cha aibu ndio maana wanaficha, sasa sijui kauliwa au vipi, ila jana march 8 alikua thailand binamu, huu ubuyu mtamu hatari, na kila ukiuliza watu sababu ya kifo chake hawakujibu
Hehehehe mtt una roho ngumu wwBwabwa hilo wala siumizi kichwa,hata angefia barabarani nisingejali.
Si bora ungenyamaza tangia mwanzomie sio wa humu,so siwezi kusema nayo yajua juu ya muhusika..mambo vipi?