ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal
Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi
Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional
Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu
Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona
Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka
Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar
Eng Hersi Fanya kitu
Yanga bingwa