Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Kweli .Maisha ya mcheza soka (professional footballer) ni maisha yanayotakiwa kuwa ya nidhamu ya hali ya juu sana.. Hasa kwenye mambo makubwa matata
1. Vyakula
2. Vilevi
3. Wanawake
Professional footballer yoyote akiendekeza hata kimoja tu kati ya hivyo AMEKWISHA!
Yuko wapi Aziz Ni leo hii
Aziz K amekuwa Kama Ngasa.