Pacome na Baleke acheni tabia ya ulevi, mnaigharimu Yanga Kwa kiwango kibovu

Kwa kuangalia tu kiwango cha mchezaji mmoja mmoja wa Yanga, unagundua mapema kuna kitu hakiko sawa.
Mtu kama Prince Dube anaonekana ameshikiliwa na moja ya lishangazi la mjini! Maana hata stamina tu kama mchezaji siku hizi, hana! Ukimkuta uwanjani, yeye ni kuruka ruka tu na kuanguka hovyo.
Pombe na wanawake vinamaliza nguvu za mwili na stamina..misosi inaongeza uzito
 
Msicho kijua kuhusu football international player sio sawa na local player, wakija wanakuja na matakwa yao kweny mkataba na ww yako mnachanganya mnakubaliana, asa pro uwez mlazimisha mda wa kuondoka uwanjani apandw magari yenu, au asiende club ww deal na mkataba hajaja mazoezin sku mbili au kiwango kibovu kama ni moja ya makubaliano yenu, ndo maana kuna wachezaji anakwambia lazima acheze kila mechi si chini ya dk 45 ata kama kiwango kimeshuka ktk ya msimu ila anacheza . Kikubwa tofautishen pro na wakina kibwana shomari, kama kweny mkataba wako uliandika asiende club sawa
Mwanasheria wa Sanda katika ubora wake.
 
Tunajiuliza kwanini wanashuka viwango gafla kumbe ni pombe,na hii inadhihirisha kabisa mfano Max Zingeli ni mlokole kama siyo msabato lakini kila mechi dk 90 anakiwasha na kiwango hakipungui tunamwona, ila majibu ni hapa hapa wakiendekeza maana mchezaji hana thamani kama hana kiwango.
 
Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal

Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi

Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional

Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu

Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona

Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka

Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar

Eng Hersi Fanya kitu

Yanga bingwa
 
Kwa kuangalia tu kiwango cha mchezaji mmoja mmoja wa Yanga, unagundua mapema kuna kitu hakiko sawa.
Mtu kama Prince Dube anaonekana ameshikiliwa na moja ya lishangazi la mjini! Maana hata stamina tu kama mchezaji siku hizi, hana! Ukimkuta uwanjani, yeye ni kuruka ruka tu na kuanguka hovyo.
Starehe zinawaharibu
 
Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal

Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi

Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional

Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu

Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona

Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka

Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar

Eng Hersi Fanya kitu

Yanga bingwa
Kasajili wa kwako kutoka misikitini tu
 
Huyo Aziz ki anafika hadi Tabata kulewa
1000292508.jpg
 
Hakika mkuu Auohor na Pacome ni marafiki na walevi sana
Sawa walevi ila wanafanya kazi zao vizuri wewe TATIZO lako nini ulevi wao au utekelezaji wa kazi zao, kwenye mkataba umeona kuna kipengele kinachowakataza wasitumie gambe?

Wayne Rooney unamjua?
 
Acha uzushi wa kinafki huo mkuu km huna ushahidi acha uzushi sio Jambo zuri kuzushia watu uongo
Me nakupa habari ya uhakika
Me sio mtu wa porojo
Nikileta habari ujue nimefatilia na Nina uhakika
Pacome akiwa na Aouhor na Baleke aliibiwa simu na dollar 💵 elf 5 saa 11 alfajiri pale Lemente Bar Masaki, siku hiyo ndo Yanga alikuwa na mechi na Al Hilal
Nilikuwepo pale
 
Sawa aliibiwa pale na ulikuwepo pale yaweza ikawa Wewe ndio mwizi wake sawa umenufaika kwa wizi wa simu ya Dollar 5000 haina shida, suala la msingi je huyo Pacome na hao wenzie pamoja na kua wanatembelea viwanja tofauti vya starehe maana yake wasiweze kutembelea maeneo tofauti na kurefresh mind? Nimekuuliza kwwnye mikataba yao kuna kipengele ulikisoma kinachowakataza wao kutembelea sehemu za starehe?

Km hakuna hicho kifungu basi acha maneno yako ya kuwasema vibaya maana mikataba yao haina hicho kifungu na haiwakatazi wao kutembelea sehemu hizo, wewe kwenye mkataba wako wa kazi na mwajiri wako kuna kipengele kinasema mwajiri wako haruhusu wewe kutembelea sehemu za starehe na kuweza kustareheka kivyovyote au kuna mfanyakazi mwenzio yeyote alieenda kulalamika kwa bosi kwamba hua unaenda maeneo tofauti ya starehe kufanya starehe wakati muda wote inabidi uwe eneo lako la kazi?
 
Ila uwongo dhambi bongo uliendekeza mademu umekwisha iwe mwanasoka au mtu anaejitafuta
Hii nchi kuna mademu wakali wengi sana wa kila shape ukishatambulishwa bar za masaki umekwisha!
Sembuse wacheza mpira ambao nyapu zenyewe wanapewa bure mana wadada shobo ni nyingi
Wafanye tu kujenga ili wazisasambue vizuri mana tukiachana na ivory coast hao waburkinabe /mali maisha yenyewe kwao hawana
Mfano mzuri ni wewe mwenyewe ni kisu hatari. Bongo watoto wazuri sana mmejaa
 
Sawa aliibiwa pale na ulikuwepo pale yaweza ikawa Wewe ndio mwizi wake sawa umenufaika kwa wizi wa simu ya Dollar 5000 haina shida, suala la msingi je huyo Pacome na hao wenzie pamoja na kua wanatembelea viwanja tofauti vya starehe maana yake wasiweze kutembelea maeneo tofauti na kurefresh mind? Nimekuuliza kwwnye mikataba yao kuna kipengele ulikisoma kinachowakataza wao kutembelea sehemu za starehe?

Km hakuna hicho kifungu basi acha maneno yako ya kuwasema vibaya maana mikataba yao haina hicho kifungu na haiwakatazi wao kutembelea sehemu hizo, wewe kwenye mkataba wako wa kazi na mwajiri wako kuna kipengele kinasema mwajiri wako haruhusu wewe kutembelea sehemu za starehe na kuweza kustareheka kivyovyote au kuna mfanyakazi mwenzio yeyote alieenda kulalamika kwa bosi kwamba hua unaenda maeneo tofauti ya starehe kufanya starehe wakati muda wote inabidi uwe eneo lako la kazi?
Hapa tunasema wachezaji kujitunza ki professional sio wasifanye starehe
Huwezi kukesha bar na kesho una mechi ya kimataifa
Unafika uwanjani na uchovu mkesha
Ingekuwa kipindi cha mapumziko hapo sawa
Inatakiwa ajitunze, awe timamu aheshimu mkataba na ampe mwajiri wake kilicho Bora
Ile mechi wale vijana walikosa fitness kabisa
Mbona Chama anajitunza pamoja na umri wake mkubwa ila ana fitness nzuri kuwazidi akina Pacome na Aziz ki
 
Maisha ya mcheza soka (professional footballer) ni maisha yanayotakiwa kuwa ya nidhamu ya hali ya juu sana.. Hasa kwenye mambo makubwa matata
1. Vyakula
2. Vilevi
3. Wanawake
Professional footballer yoyote akiendekeza hata kimoja tu kati ya hivyo AMEKWISHA!
Yuko wapi Aziz Ki leo hii
hamisa mobeto atakuwa anajua aliko azizi k labda tukamuulize
 
Hapa tunasema wachezaji kujitunza ki professional sio wasifanye starehe
Huwezi kukesha bar na kesho una mechi ya kimataifa
Unafika uwanjani na uchovu mkesha
Ingekuwa kipindi cha mapumziko hapo sawa
Inatakiwa ajitunze, awe timamu aheshimu mkataba na ampe mwajiri wake kilicho Bora
Ile mechi wale vijana walikosa fitness kabisa
Mbona Chama anajitunza pamoja na umri wake mkubwa ila ana fitness nzuri kuwazidi akina Pacome na Aziz ki
Happ ndipo ulipoongea kiungwana zaidi kwa maelezo yako kule juu ilibidi useme hivi
 
Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal

Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi

Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional

Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu

Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona

Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka

Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar

Eng Hersi Fanya kitu

Yanga bingwa
Vipi hawakuwa na totoz kali pembeni maana nasikia wachezajinhawa wana gegeda pisi kalikali tuu
 
Back
Top Bottom