Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi matumizi sahihi ya hela wanazolipwa mwanawaneWarembo walikuwepo
Sasa mchezajinanalipwa mil 15 unaitumia wapi kama sio kwenye mbususu mwanawane. Warembo wenyewee wanajigonga gonga na mbususu haisuswiHakika mkuu
Kitengo cha kataa ndoa
Hivi magoli yanayofungwa na wanywaji ni tofauti na yale ya wasiokunywa? Kama ni sawa waelimishwe kuimarisha afya zao.Marehemu Dr kasambala alikuwa maarufu afrika mashariki kwa upasuaji huku akiwa amekunywa.Ilikuwa vigumu kumwakisha kazi.Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal
Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi
Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional
Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu
Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona
Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka
Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar
Eng Hersi Fanya kitu
Yanga bingwa
Kweli siyo wakongo tu mkuu ata Wazungu wakishafikq Bongo hawataki kurudi kwao, Ata Inonga, Mayele lazima watarudi Bongo kuishi.Karibu Bongo Dar es salaam, Jiji la Starehe za kila aina, ndiyo maana wakongo wakija bongo hawataki kurudi kwao 😛
Eti usd elfu Tano kaibiwa!!Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal
Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi
Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional
Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu
Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona
Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka
Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar
Eng Hersi Fanya kitu
Yanga bingwa
Mbona mkuu yupo vizur tu sema timu aliyopo aina Muungano mzur.Kama kale ka bwana mdogo ka AHOUA nako ni kalevi soon atashindwa soka la bongo, kwanza HAKAJUI mpira, kiwango chake si cha timukama simba ni AVERAGE player.
Usd 5000 aliendanazo kula bata sio!!!Hutaki au
Faisal analewa baa gani? Abdi Kassim ulimuona baa gani? Mnasajili walevi wa Kongo na Ghana halafu mnaisingizia DarTatizo ni wakiingia hapa Dar es salaam, Jiji la starehe za kila aina na zinapatikana kwa ukaribu, Wanageuka kuwa wacheza bendi 😛 Wakongo ndiyo kabisa hata wakistaafu soka hawataki kurudi makwao
Ushamba tu, tumesoma vyuo vikuu vya Dar, Dar tunaona kama jiji la kawaida tu. Alfajir unaenda msiktini, mchana unaenda chuo, jioni unaenda mazoezi, usiku unaenda msikitini Dar, halfu unaenda kulalaHii nakubali ona hata Morrison hata akiwa hana timu lazima ang'ang'anie kubaki DSM. DSM mademu ukiwa na laki tu, starehe bei sawa na bure.
Tatizo umri, hao unaowaita walevi unakuta wana vipaji mno, ila tabia ya ulevi ndiyo inawagharimu, Lakini haiondoi ukweli juu ya vipaji vyao. Pia sio wachezaji wote wana hulka za starehe ya pombe na wanawake, Mfano Max Nzengeli hauwezi kumuona anavuta shisha au hata kuchora tattoo, Starehe yake kupiga pamba kali. Ila kina Joyce Lomalisa na Bacca inonga tattoo + starehe kwa sana ndiyo zao, na bado uwanjani huenda wakafanya vizuri kuliko max!Faisal analewa baa gani? Abdi Kassim ulimuona baa gani? Mnasajili walevi wa Kongo na Ghana halafu mnaisingizia Dar
Pesa mkuu pesa! Wewe chuoni boom haifiki hata laki 8 😛 Unaenda Hyatt regency kufanya nini? Mwenzio analipwa milioni 40 kwa mwezi, na bado ana miaka 21, Ana pesa na anaona ana maisha mazuri tayari, afanye nini sasa?Ushamba tu, tumesoma vyuo vikuu vya Dar, Dar tunaona kama jiji la kawaida tu. Alfajir unaenda msiktini, mchana unaenda chuo, jioni unaenda mazoezi, usiku unaenda msikitini Dar, halfu unaenda kulala
Kuna watu wanafanya kazi za vibarua kwa siku 2 lkn mlevi hatari. Ushamba wa baadhi ya watu tu. Pesa sio tatizoPesa mkuu pesa! Wewe chuoni boom haifiki hata laki 8 😛 Unaenda Hyatt regency kufanya nini? Mwenzio analipwa milioni 40 kwa mwezi, na bado ana miaka 21, Ana pesa na anaona ana maisha mazuri tayari, afanye nini sasa?